Jus Got Paid
New Member
- Dec 14, 2010
- 4
- 0
jana niliwapigia cm kuuliza ni taratibu zitu zinatakiwa zifuatwe kabla sijapewa mkopo. kwa kweli nilichoka kabisa. kwa mfao:
niliuliza kama nikihitaji 1m nifanyeje: nikajibiwa hivi
Nipeleke gari na kadi yake gari litahifadhiwa kwenye yadi yao mpaka nimalize mkopo . nikauliza kwa nini nisiwape kadi na gari nikaendelea kutumia wakasema hapana.
Pili: mkopo hauzidi miezi mitatu.
Tatu: liba yao ni 30%
na kuna gharama ndogo ndogo kama kuchukua fomu, ukaguzi wa gari zote unalipia wewe.
binafsi sioni kama wana lengo la kusaidiana lakini wameangalia zaidi upande wao ili wapete faida kubwa.

We would like to take this opportunity to introduce Mzalendo Credit Limited to your esteemed blog.
Mzalendo Credit Limited, is a lending institution focusing on short term loans (i.e. spanning one to three months) with the capacity to lend up to TZS 10 million to both individuals and companies for a multitude of purposes. We pride ourselves in being able to disburse credit to our clients with expediency and a hassle free process.
We are now launching Mzalendo Credit Limited in the market and therefore wanted to communicate and share this exciting milestone with you.
The attached brochure will provide you with more information about Mzalendo Credit Limited and our financial product offerings. We would very much appreciate it if you would post the attached brochure on your blog for informational purposes. If you would like more information, please feel free to contact us at info@mzalendocredit.com.
We look forward to hearing from you.
Kind regards,
Mzalendo Credit Limited
P.O. Box 78664
Dar es Salaam
Tel: +255 22 2701401
Fax: +255 22 2701402