mzaha mzaha hutumbua usaha...

One mistake One Goal !! Lakini yanapita tu utakuwa ndiyo ukubwa huo!!
 
Mwenzio kapata sababu ya kwenda kwa nyumba ndogo, hapo andika maumivu tu...
 
...malizia kutumbua usaha usijekuta kuna LIJIPu lingine ulilonalo...unafanya utani kwenye 6x6 khaaaa na leo weekend kikirudi kimesinyaa kuliko hata bamia zilizopigwa na jua
 
Mkal now mweleze ukweli, mwombe msamaha. Text him siku nzima omba msamaha bila kuchoka and remind him wampenda yewe tu na hujawah kumsaliti. That it was a joke ila ulipitiwa bht mby. Pole mamii.
Hata kama si kweli???
 
af mwanaume gani anazira huyoooo!
aaargh!
mi ngekufata huko huko na mzungu wa nne wako!(nione utanuna mpk sa ngapi)

^^
Inategemea,,usikimbilie hitimisho..maana huwezi jua kwa nini mwanamke hakukanusha alipoambiwa ivyo.
Pili,
Chumbani kuna mengi wanandoa wanatakiwa watumie hata akili ya kawaida tu kujua wakati gani ni wa utani,wapi,n.k
Kusema tu "umezila"
tena kwenye ndoa,mwanaume akaamua kukuonyesha kuzira ni kuna maana gani.
Utani kama huu ufanywe raundi ya 3 au 4,,sio hata kabla ya mechi unaleta masihara,,wanaume tupo tofauti sawa na wanawake mlivo tofauti
^^
 

^^
Una ndoa Munkari ? Au ni just assumptions? Utamtoa roho mwenzio ohoo!
^^
 
Last edited by a moderator:
Nilijiua tu utakuja hapa JF kuomba ushauriiiii!! sasa kwa taarifa yako nimechukia haswa!!!:embarrassed1:
 
Nimemtext weee hatimaye kanizimia na simu alikuwa na yake tu... Namsubiria aje liwalo na liwe...
 
Nimemtext weee hatimaye kanizimia na simu alikuwa na yake tu... Namsubiria aje liwalo na liwe...

daa pole sana.kuna wanaume wengine wanapenda kubembelezwa kupta kiasi! akija usimsemeshe ila mengine mfanyie!
 
Utani mwingine ndani ya ndoa ni wa kucheza nao mbali. Zungumza naye kwa kumuomba samahani ya nguvu na kisha leo baadaye ufanye kweli ili kumridhisha na utani kama huu usiurudie tena. Mtafute kwenye mobile phone na inabidi uwe mpole tu. Pole sana.

 
Mhhhhh!!!! :noidea::noidea::noidea:

Nilijiua tu utakuja hapa JF kuomba ushauriiiii!! sasa kwa taarifa yako nimechukia haswa!!!:embarrassed1:
 
acha utoto hiyo kesi ndogo tu mbona imeshaisha we ngoja arudi!!
 

Ndio maana nasema maisha ya ndoa ni full artificial..

No need to panic.....Kama mnaishi kwa kuaminiana na bila kukwaruzana na kama ulikuwa unatania kweli haikuwa na haja ya ku-panic..Msamaha uliomwomba ulipoamka ulitosha sana..tena ilibidi kuomba msamaha huku unatabasamu la nguvu..Kama yeye atachukia nadhani muwahi kumpima ugonjwa wa akili... Lakini kama kuna vitu mnatofautiana na hamuaminiani usifanye tena utani kama huo...atajumlisha 2 + 2 = 4..

Ningekuwa mimi wewe..ningemwomba nimtoe out..nikamwombee msamaha huko huko...tukirudi tushafanya warm-up kwenye gari...
 
Nilijiua tu utakuja hapa JF kuomba ushauriiiii!! sasa kwa taarifa yako nimechukia haswa!!!:embarrassed1:

Kama ni wewe nisamehe mume wangu... Rudi nyumbani tuyamalize mpenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…