My Wishes 2014

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
2014 NINAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:
1.nyama iuzwe kwa bei ya dagaa
2.Nauli ya ndege kwenda S.Afrika iwe bure coz ni mteremko
3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwez sukuma mwezi au mwaka
3.Siku za mwizi zifike 70 sababu uchumi umekuwa mgumu
5.Njiti za kiberiti ziwekwe pande zote la sivyo
wachonge upande mmoja tutumie kama toothpicks
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari bei ya
chumvi
7.Soda ijazwe chupa hii tabia ya kuacha nafasi
kidogo ni kutuibia
8.Donati zisiwe na shimo katikati la kazi gan kama si uhuni?
9.Vocha za buku ziuzwe mia tisa tupate mia ya
kukwangulia
10. Kuku asiwahi kuamka kuliko mwenye nyumba

What are Your Wishes This Year?
 
Funny and interesting thoughts/reflections!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…