Sasa hii habari ya kunakili kutoka mtandao sijui wa wapi huko tena ya mwaka 2009 unatuletea sisi...kama sio kupotezeana muda ni nini hiki???
Sosi: My Wife Shows No Affection : I Am Married But Lonely Story & Experience
Haha anataka tushindwe kulala.
Sasa hii habari ya kunakili kutoka mtandao sijui wa wapi huko tena ya mwaka 2009 unatuletea sisi...kama sio kupotezeana muda ni nini hiki???
Sosi: My Wife Shows No Affection : I Am Married But Lonely Story & Experience
The question is old but the problem is living. when your marriage becomes cold you have to find a way to break the dormancy. We need to learn from others and twist to fit our situation.
Hao watakaopata tatizo kama hili watakuja hapa kuandika ya kwao na tutawashauri kadiri tuwezavyo...
Kaka mkamiaji.....teh

I fully agree with you; maana nilivyoanza kusoma nikasema maskini kaka wa watu yamemsibu hadi kaona aweke msisitizo kwa "kimombo" But again, hii kitu jamani haina formula, mke wa Ngosha atatibiwa kwa Panadol wakati mke wa Beka atatibiwa kwa Aspirin. Its all about chanzo cha tatizo na aina ya mke ulienae.the issue is living the character advocates outbreak of made up tales.It were better off to be honest(reveal the source).Never reward yourself a ''starring role'' to a ''copy and pasted'' scenario.You will just end up a ''bad guy''.
hahaaaa, haya mambo bado yanaendelea mtani?Sasa hii habari ya kunakili kutoka mtandao sijui wa wapi huko tena ya mwaka 2009 unatuletea sisi...kama sio kupotezeana muda ni nini hiki???
Sosi: My Wife Shows No Affection : I Am Married But Lonely Story & Experience
hahaaaa, haya mambo bado yanaendelea mtani?
nilidhani nitakuta yameshaisha