My Wife DOES NOT WORK !!!

wanakusikia, ngoja waje wakujibu
CC: Nivea
Ila wanawake wengine kazi umbea tu.

Unamkuta mwanamke ni mama wa nyumbani halafu bado amewekewa na msichana wa kazi, sasa kazi ya huyo mwanamke inakuwa ni umbea na mijiusingizi kwakwenda mbele.

Mkuu Elli wanawake wengine ni majanga tu.
 
Last edited by a moderator:

Hakuna mke wa aina hii katika dunia hii tunayoishi sasa...tuache kudanganyana!
 
Hakuna mke wa aina hii katika dunia hii tunayoishi sasa...tuache kudanganyana!

Dr pls usiharibu mawazo ya jukwaa unless uielezee statement yako kua hakuna wanawake wa aina hiyo cku hizi,unamaanisha nini
 
Last edited by a moderator:
imetulia mkuu. jokes siyo reality siyo, unajumlisha mwenyewe hasa kama jana mlidundana
 
Well said,,...a wife played a big role not only on the family but also on the society at large although they dont being appreciated,,....!!

Marnah I swear u have touched my heart today.. Na mweka thread abarikiwe koz hawa viumbe hawapendwi hata hawathaminiwi Kwa ukubwa wa kazi wanazofanta.. I respect them alot..
 
Mwanaume wa namna hiyo alimuonea wivu mkewe kwa kubaki nyumbani wakati yeye akienda job
siku moja kamwambia Mungu, naomba na mm niwe mwanamke nienjoy kama mke wangu, maana mm daily nakonda yeye ananenepa.
Mungu akamwambia sawa, kesho ukiamka asubuhi utakuwa mwanamke naye mkeo atakuwa mwanaume.
Na ikawa hivyo.
yule jamaa (mke kwa sasa) akaamka kesho yake, akamwandalia mumewe chai akaenda job yeye akabaki anaandaa watoto na kuwapeleka shule,
kwa ufupi, ilifika mpaka jioni bado anahangaika na kazi za nyumbani bila mafanikio mpaka mume na watoto wakarudi hata msosi hakuna. wakati enzi zake alikuwa anakuta nyumba safi, watoto wasafi, na msosi tayari.....na wife msafi......
basi kufika usiku yuko hoi taabani, na mumewe anataka haki ya ndoa, akatoa kwa shingo upande huku akilalama uchovu.
Usiku wa manane akaamka na kumwambia Mungu, ni bora nirudi hali yangu ya uanaume maana naona kuwa mwanamke ni mateso zaidi ya nilivyofikiria awali. Mungu hana hiyana, akamwambia poa, utarudi kuwa mwanaume, ila ni baada ya MIEZI 9, maana ulipolala na mumeo umepata MIMBA.
ASANTE.
 
Mmh!! umegusa ukweli kuna jamaa kageuza mke kama mama yake kabisa ingawa wote wanafanya kazi apike aandae mavazi viatu na nyumba akiingia akute safi. Kweli mke hana day off
 
Aiseee, ni kweli Elli. Mwanamke hata asipokuwa na kazi ya ofisini lakini bado kazi anazozifanya za nyumbani ni nyingi mno.
Ila nimefikiria kipuuzi, kama mimi na mke wangu tunafanya kazi, maana yake sehemu kubwa ya hizi kazi zinafanywa na msichana wa kazi, tusemeje juu ya hao pia?
 
hahahaaa imekwenda shule hiii, kiherehere chote kwisha, ngoja niiweke hapo juu
 
Ila wanawake wengine kazi umbea tu.

Unamkuta mwanamke ni mama wa nyumbani halafu bado amewekewa na msichana wa kazi, sasa kazi ya huyo mwanamke inakuwa ni umbea na mijiusingizi kwakwenda mbele.

Mkuu Elli wanawake wengine ni majanga tu.
Very true Mkuu na nakuunga mkono,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…