My temperature is rising, but we can’t

Falcon

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
245
Reaction score
68
Nilipangiwa kuwa ni zamu yangu mwisho wa wiki hii, kwa bahati mwenye mali kaweka vikwazo,nimeambukia maneno haya My temperature is rising………but we can’t, I know .....not this week ,I love him as much as I love you . (kweli nguo ya kuazima haistiri uchi) ilikuwa nimfuate Dar akitokea ukabilani kwao nimvukishe maji ya chumvi kwa mara ya kwanza.
 

Utaliwa 0718 siku si nyingi!
Khaa! Unalalaaaama kwa mtu wa watu!
 

Sasa umekubaliaje kukaa kama spare tyre? Jitafutie wako, acha wizi!
 
kizunguzungu! anazungumzia nn hasa naona kama cjamwelewa au ukichwa maji???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…