My shop software - Mfumo wa usimamizi wa biashara yako

My shop software - Mfumo wa usimamizi wa biashara yako

MKUDE SIMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
305
Reaction score
168
Je bado unatumia daftari kwa ajili ya kuhifadhi mauzo, matumizi, au umekumbuna na kuibiwa na wafanyakazi wako kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi juu ya stock au mauzo ya duka lako la dawa (pharmacy), mini supermarket, duka la nguo au viatu, hardware, saloon na mengineyo?

Ama umeshindwa kujua dhamani ya bidhaa zako zote kabla na baada ya mauzo, au bidhaa zinagharibia (expire) bila wewe kuwa na taarifa?

Inawezekana umeshindwa kufahamu faida, matumizi, mauzo ya siku, wiki, mwezi au hata mwaka na kusimamia vyema kumbukumbu za unao wadai,

Suluhisho la hayo yote ni programu maalumu ya computer ya myShop, Itakayokusaidia kurahisisha na kuboresha usimamizi wa biashara yako

Programu hii inaweza kuwekwa kwenye computer/laptop yoyote ambayo utakuwa ukiitumia dukani kwako kwa ajili ya usimamizi wa shughuli za hapo dukani.

Tunapatika kwa kutupigia/whatsapp/sms 0717 705 916 (KWA WAFANYA BIASHARA WA DAR ES SALAAM-PWANI-MOROGORO-MTWARA-LINDI-ZANZIBAR) na 0655 568 588 (KWA WAFANYA BIASHARA WA ARUSHA-MOSHI-MANYARA-SINGIDA-DODOMA)

SHARE NA RAFIKI AU NDUGU YAKO TAARIFA HII ILI NAYE ABORESHE UTENDAJI NA USIMAMIZI KATIKA BIASHARA YAKE KISASA ZAIDI.

TEMBELEA PAGE YETU YA "myShop Software" kwa taarifa zaidi au tupigie/sms/whatsapp

myShop Software - Software kwa duka lako!
 
Attachments

Mkuu hili swala ni zuri lakini kiuhalasia wabongo wengi ni wagumu sana kulipa hizi kazi za IT; nakushauri toa TRIAL VERSION ya software yako ambayo itakuwa na time limit au limited features hii inasaidia watu kuwa aware na product: hii njia hata makampuni makubwa ya software kama Microsoft huwa wanatumia hizi njia
 
Ahsante kwa ushauri wako ndugu thesym lakini nikufahamishe, wenye nia ya kuboresha usimamizi wa biashara zao wanapatikana sana, hasa wenye uelewa makini na malengo na biashara zao wamewasiliana nasi na tumeshawafungia mfumo, kwa atakayehitaji demo ya mfumo wa myshop anaweza wasiliana nasi
 
kweri kabisa, trial itatupa hamasa zaidi tukiona iko vizuri na inakidhi mahitaji.
 
Afu TRA wakija wakute unauza sana wakuchape kodi
 
Mkuu hili swala ni zuri lakini kiuhalasia wabongo wengi ni wagumu sana kulipa hizi kazi za IT; nakushauri toa TRIAL VERSION ya software yako ambayo itakuwa na time limit au limited features hii inasaidia watu kuwa aware na product: hii njia hata makampuni makubwa ya software kama Microsoft huwa wanatumia hizi njia

Kama unahitaji trial wasiliana nasi tu mkuu tukuwekee kwa ajili ya trial / kuijaribu
 
KWA ANAYE HITAJI TRIAL / KUJARIBU MFUMO TAFADHALI WASILIANA NASI TUJE KUKUWEKEA

Tunapatika kwa kutupigia/whatsapp/sms 0717 705 916 (KWA WAFANYA BIASHARA WA DAR ES SALAAM-PWANI-MOROGORO-MTWARA-LINDI-ZANZIBAR) na 0655 568 588 (KWA WAFANYA BIASHARA WA ARUSHA-MOSHI-MANYARA-SINGIDA-DODOMA)
 
TRA au mtu yeyote hawezi ona kiongozi, labda wewe mwenywe umruhusu kuona
Mkuu wanashindwaje kuona wakati wana mashine zao za EFD na kila ukiuza unatakiwa kutoa risiti na wanakua wanaona mauzo yako yakoje na mwisho wa siku lazima ufanyiwe hesabu na wakikuta haviendani nakula faini??

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa ushauri wako ndugu thesym lakini nikufahamishe, wenye nia ya kuboresha usimamizi wa biashara zao wanapatikana sana, hasa wenye uelewa makini na malengo na biashara zao wamewasiliana nasi na tumeshawafungia mfumo, kwa atakayehitaji demo ya mfumo wa myshop anaweza wasiliana nasi
Huo ni ubishi sasa. Alichokushauri mdau hapo ni kitu very important. Unajua majority yya watanzania bado wapo stone age katika maswala ya mbinu za kibiashara, especially book keeping. Imagine kuna watu hawakeep records kwa hata daftari, je wataweza kuadopt hii software haraka haraka.
 
Back
Top Bottom