My shem Erick B52!!!!!!!

Walokuwa kwenye mechi utawajua tu!

Mechi ipi sasa?
Hii ya Mani Yu & Chelsii au zile mechi zetu zinazotubadili sura zetu wkt wa kufunga magoli hugeuka kua kama za Nyanya zetu ?
 
Mechi ipi sasa?
Hii ya Mani Yu & Chelsii au zile mechi zetu zinazotubadili sura zetu wkt wa kufunga magoli hugeuka kua kama za Nyanya zetu ?

Kama na hizo za kubadili sura tunazipatiaga counter ya juu sawa!
 
Yeah. . .
Mzima tena wa afya.

Habari yako?

Mimi mzima wa afya njema, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu yalokosa usingizi mpaka muda huu. Stay safe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…