Haemoglobin levels below 11.0 is detrimental to your health, most especially if you are an expecting mother. Pamoja na kutumia greens kwa sana, pia tumia dawa inaitwa Hemovit. Hii ni syrup. Use 2 teaspoonfuls, thrice daily for as long as the levels get back to normal. Inapatikana kwenye maduka ya dawa ya kawaida. Nipe feedback baada ya mwezi mmoja tangu unapoanza kutumia. By the way, how far off are you till delivery?