My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,766
107,362
Weka listi yako ya nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.
Mimi playlist yangu ni hii..
>> Mr Eazi -Hollup
>> Mr Eazi -Sample you
>> Dj spinal ft Mr Eazi -Ohema
>>Designer -Panda.
>>Meek miil ft Big sean & Asap ferg -Bboy
>>Kwesta ft Cassper Nyovest -Ngud'
>>Rich Gang ft Young thug- lifestyle
>>Iyaz Breath
>>Dr Sid ft Korede Bello-Flawles
>>Diamond platinum ft neyo -Marry you.
>>Major league Djz ft Cassper Nyovest -Zulu girl
>>Falz -Soft work
>>Gentries ft Young D &Bele 9 -Chapaa
>>K.o ft Magz &MaE -One time.
>>Keishia Cole -Sent from heaven.
>> Dah pressure -Nivumilie.

Hizo ndio ngoma zangu ambazo kama sikuzisikiliza siku inaisha vibaya na lazima nizisikilize.

Weka zako na wewe
 
Dah !!!
Chris brown - privacy
Kila siku iko kwa sikio ni ngoma nzuri kwa watashi
 
Playlist yangu

Rich gang&young thug-lifestyle
Jason derulo&minaj-swala-la-la
B.O.B-war witch
G eazy-tumblr girls
Future-move that dope
Future&drake-where you at
Eminem-ass like that
DJ khaleed-hold you down
Kid ink-money and the power
**** you back to sleep (remix)
Shaggy-it wasn't me
Tyga-1 of 1
Nick minaj&drake&wayne-only
Ben paul-tulia kwangu

Hizi playlists ni lazima zisikilizwe kila siku
Tumefanana kawimbo kamoja.
Kwako naupenda Huo wa Dj Khaled but naona umeshachuja kwangu.
 
if-davido
mama-kiss daniel
ungowami-uhuru ft speedy
kidiamfuka-falli ipupa
shape of you- ed sheeran
usingizi-remmy ongala
 
Haijawahi kutokea nkawa nasikiliza nyimbo kila siku hiyo hiyo, sijui ndo ushamba!!
Zipo nnazopenda lakin kila siku nakuwaga na mood na style flan, cku ya Gospel ni gospel, raggae hvyhvy n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom