My pc doesnot control brightness

My pc doesnot control brightness

SAM nicheck

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
56
Reaction score
13
help plz nina Toshiba satellite model C50-A634 and SERIAL n 1E064207U tatizo ina mwanga mkali sana na nikitaka ku control brightness function zake hazi respond hata kwenye control pannel hazi control hii brightness nifanyeje pliz maana inaniumiza macho mwanga ni mkali sana NATUMIA WIN 7 64BIT
 
help plz nina Toshiba satellite model C50-A634 and SERIAL n 1E064207U tatizo ina mwanga mkali sana na nikitaka ku control brightness function zake hazi respond hata kwenye control pannel hazi control hii brightness nifanyeje pliz maana inaniumiza macho mwanga ni mkali sana


Unatumia windows 7 sio ?
 
Yap window 7 64 bit


Kwani ukiingia kwenye control panel ! Ule mstali waku control light unagoma au ?

250px-Control-the-Brightness-of-Your-Computer-With-Windows-7-Step-7-Version-2.jpg
 
kama unatumia wn7, bonyeza katika geuge ya betry itakuletea option tofauti tofauti ikiwemo hiyo unayotaka.
 
help plz nina Toshiba satellite model C50-A634 and SERIAL n 1E064207U tatizo ina mwanga mkali sana na nikitaka ku control brightness function zake hazi respond hata kwenye control pannel hazi control hii brightness nifanyeje pliz maana inaniumiza macho mwanga ni mkali sana NATUMIA WIN 7 64BIT

Tafuta vga drivers
 
Back
Top Bottom