tanzania na hofu za kina uamsh? wizi wa pesa, mafisadi, wafitishi, wachochezi , wanafiki na yenye watu wavivu kufikiria lol! ila ina neema na hii neema inaenda kua laana, natazama kwa mbali naona TZ inakua kama SUDAN au NIGERIA vile jamanii machozi yananitoka mie mtoto wa mama yangu! napenda sana mbwa ndugu yangu na hata ninapo toka lindoni cha kwanza nafikia kwenye banda la mbwa wangu kutazama anaendeleje