Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,933
- 1,179
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu wapi naweza pata screen nyingine
mimi naomba msaada niko mashariki ya mabali narudi nyumbani this month Insha Allah nimeona TV samsung martTV dola kama 600 hapa ya nchi 40 home sh ngapi waungwana nisije jiigiza kichwa kichwa wakati hata home zipo kibao,, pia nikifika pale eapoti ushuru nitalipa sh ngapi kwa anejua,,,sorry uzi huu si wangu ila nimeona niiunganishe swali langu hapa .. ahsante
Tupa picha hapa tuione ,hapa bongo bado hazijaenea nimeziona duka la Samsung pale Uchumi Pugu rd. Bei ni zaidi ya 5M.