My house

Huu ni ubunifu mzuri sana, na nyumba za hivi huwa hazina joto ndani
 
Hizi kwetu mlimani kaskazi zilikua zinaitwa Full Suite.
Bedroom, Jikoni na Boma la Ng'ombe mahali pamoja.
 
Hizi nyumba zilikuwa mali sana. Nilizaliwa na kukulia katika nyumba ya namna hii. Jiko, Ng'ombe, Mbwa, Kuku na watu wote mnaishi humo humo na maisha yanakwenda.

Tiba
 
Bado zipo baadhi ya maeneo ya wamasai....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…