Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
Wakuu naomben msaada kwa ajili ya ku unlock flash yangu. ni flash ya 32GB yenye shape ya ufunguo wa kofuli ila tatizo lake ni kwamba imefungwa na password but nikiweke kwenye PC inasoma na inafunction kama kawaida ila nikitaka kuweka data yeyote ina niambia "the disk is writed protected " yan siwez hata kuiformat. Kwa kwel nimeangaika nayo lakn imegoma. Naomben msaada kwa anaejua hili.Shukhran