My first time in Tanzania

Status
Not open for further replies.

best regards to all the citizens of "now robbing"
 
Waafrika bwana watu wa ajabu! I hope utakuwa na feeling kama hizo wa Wachina na Wahindi waliojaa TZ!
 
This thread was meant to cause a healthy discussion. I would prefer if we kept it that way. Thank you 🙂
Please Mnairobi! healthy discussion can't be witnessed unless Kenyans display a healthy behaviour.
 
Waafrika bwana watu wa ajabu! I hope utakuwa na feeling kama hizo wa Wachina na Wahindi waliojaa TZ!
Nilikuwa sijajua kama naongea na mtu ambaye sio Mwaafrika, lakini Shida yangu sio kupinga interaction, napingana na tabia mbaya za wakenya. Sasa wewe unaona ni bora kuishi pamoja na wakenya kuliko kufanya biashara na wachina au wahindi. Nikuhakikishia kuwa ni bora kuendelea kufanya biashara na wakenya, wachina na wengineo kama njia ya kutafuta maendeleo kuliko kuongelea habari ya umoja na wakenya. Kwanza nakushangaa unaposema waafrika watu wa ajabu, je hao wengine kama wazungu, waarabu, wahindi na wengineo mbona nao hawaendekezi kitu kinachoitwa muungano sana sana wanahangaika kushindana. Bwana Sijali suluhu ya matatizo sio moja, usiwe kama umesetiwa, kama muungano ni suluhu pekee basi sie tulitakiwa tuwe moja ya mataifa yaliyoendelea kiuchumi Africa. Waambie wakenya kuwa sie tunataka ushindani wa kimaendeleo sio kushirikiana ktk kutumia raslimali za Tanzania. Hatuwezi kubadilishana Ardhi na Phd waliyompa kikwete maana that is the only thing kenyans can offer, otherwise they have nothing to offer in exchange.
 

Hivi ardhi hiyo nyie watz mnaitumia inavyotakiwa?Kama bado mtu au watu kama wewe mnaogopa wakenya kuchukua ardhi yenu nadhani hamko sahii kabisa kwani hiyo ardhi mmeifanya iwe dead capital sasa hapo manufaa yako wapi?
Fikra zenye woga kama hizo hazifai kuishi siku hizi.
 

Tatizo lako huna mashiko katika hoja zako. Kwanza una-generalise, jambo ambalo ni hatari sana kwani siyo kila Mtanzania ni malaika. Unajua 'baadhi' ya Wachagga wanafanya nini Nairobi?

Pili, nadhani thread ilianza na raia wa Kenya kutoa picha nzuri ya safari yake Tanzania. Kugeuka ghafla kwa wachangiaji wa Tanzania na kuanza kurusha tuhuma na shutuma ndiko kulikonifanya niandike jibu lililoanza kwa 'what happened to my country` Kwa sababu si kitu cha kawaida kwa mtu akusifiaye ukaanza kumtukana!

Mnairobi hakuzungumzia kamwe juu ya shirikisho. Huenda yeye pia analipinga. Kwa nini unadhania Wakenya wote wanataka ushirikiano na Tanzania? Tena kwa nguvu?

Baadhi ya matamshi yako yenye maana 'Kenya has nothing to offer' kwa kweli ni ya kupotosha na ni aina ya upayukaji usioandamana na hali halisi ya mambo. Yawezekana tatizo lako ni kuwa hujasafiri nje ya Tanzania.....?! Kwani nijuavyo, si Kenya tu bali hata Uganda has a lot to offer to Tanzania and vv.

So please, don't be so anal.
 

Agree with you.....
 
Mrina - Arusha

Sewa, Kinos, SUn Siro, Bwawani = Dar

Bwawani , CCM Maisala = Zanzibar

Ok sir. I will definately keep that in mind next time i visit your beautiful country.
 
oyaaa masela acheni kumtoa amani na utulivu mshikaji...du watu mna bifu...
 
Aisee ni bahati mbaya siwezi kudisplay hata kazi yangu hapa jamvini kwa hiyo ni bahati mbaya kuwa hiyo limited exposure yako inakufanya uone kama vile mie sijui what is happening outside Tanzania. Nikuhakikishie kuwa sijafika Burundi tu hapa ktk EAC nadhani wewe ndo hujui kinachoendelea, najua kuwa huyo mkenya anaisifia Tanzania na ndo maana mwanzoni sikuanza kumjibu yeye lakini hizo sifa haziwezi kunifanya nione aibu kukujibu wewe uliyetuletea mahubiri ya tusahau yaliyopita. Na kama wewe ulitaka kusaidiana na mkenya usingeeleza ulivyonyanyasika Nairobi enzi za kenyata na Moi, pamoja na kwamba ulinyanyasika wewe lakini hiyo ilitokana na Utanzania wako kwahiyo hiyo inanihusu. Na wewe unasema enzi za moi na kenyata inaonesha sasa hivi aidha unaelewana nao au unakaa mbali nao sasa. Lakini mie narifaa mahusiano ninayoyaona sasa na mindset ya wakenya kuelekea watanzania. Mwisho mie nimesema kenya has nothing to offer sijasema na uganda, na kwenye post yangu ya kwanza nimesema ikiondoka kenya EAC shirikisho linawezapatikana hata kesho; maana yake ni kuwa others have got something to offer but not kenyans. Sasa wewe umekaa kenya hebu niambia kenya wataoffer nini kitakachoweza kutufanya sie tuignore hilo bomu walilonalo la watu wasiokuwa na ardhi? Hata kwenye EAC wanachong'ang'ania ni ardhi, free movement na security, kama wana nia njema kwanini wasihamasishe kuunganisha yale mashirika yaliyovunjika wakati ilipocollapse ile ya kwanza? Take note! sina shida na sifa anazozitoa Mnairobi juu ya hiyo trip lakini siwezi kuuza uhuru wa kukwambia kwa sababu ya sifa zisizolipa, hasa nikizingatia kuwa mtz mwenzangu(japo sina uhakika) umejiita "Sijali" inawezekana jina lina implication kuwa wewe ni mtu wa kutojali kabisa, wakati mkenya kajiita Mnairobi kuonesha anauchungu sana na Nairobi kwa namna nyingine kenya na kwahiyo hizo sifa anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
mji wa dar ni mchafu sana au wewe ni barozi wa kenya tz? Pia hauko slow kama unavyodi, inamaana haukusia ata zile spika za dawa ya panya na mapunye.
 

just wondering why stars are so inaccesible thay you have die to get there?
 
I sense some sort of prejudicial and discrimination surroundings. Anyone who will belittle others in order to make themselves superior is an ingnorant, coward, and illiterate. It is sad tht ths is happening within our own region, ethnic background and to say the truth whites will always use ths against us and we a so foolish coz we always fall in their traps. We a all blacks for goodness sake
 
We got hate amongst our selves yet we want to compete with people that have icredible unity and common purpose (westerner)......what a shame. They call it the crab mentality...'if i cant have it, neither can you'.Crabs in a bucket will never let another crab trying to escape to climb out. They will always pull them each other back leading to the demise of all.
 
Naona ukenya (ugonjwa) wako unaanza kujitokeza. Chunga sana hiyo lugha ya kinyan'gau unayotumia!
My dear ignorant, mr/ms know it all, good for nothin, low life friend. its always unfortunate to meet such people of ur who cannot think beyond your nose. Wake up and smell the coffee we a in 2012 and nt 1800 where ignorant and stupid ppl lived by believin there a ppl who a better off than others. Sasa uchunge maneno yako wewe
 

Typical Tanzanian mindset! Sasa cheo chako kinahusika na nini katika kuchangia hoja. Hata kama wewe ni JK, so what?
Tunazungumzia hoja hapa.
Nilivyokutathmini una chuki binafsi na Kenya, na hizi ndio unazozipika kuzifanya ni chuki za uzalendo zitakazoisaidia Tanzania. Hakuna nchi duniani inayojengwa kwa chuki, bali kwa maslahi.
Pili: wewe ni mtu wa one-issue mentality. Yaani inakuwia vigumu kutasawari picha kubwa (to have a bigger picture). Umeshikilia ardhi , ardhi, ardhi.... zaidi ya ardhi? Na mbona ni Kenya tu? Hata Rwanda hawana ardhi, tena zaidi kuliko Kenya. Badala ya kufikiria practical solution.....kwa mfano serikali ya Tanzania ku-survey ardhi yote na kuwamilikisha Watanzania na kuweka masharti ya end-user etc..unataka tu serikali ing'ang'anie viplot! Hiyo ndiyo kazi ya serikali?
Halafu nakushangaa sana. Hujasikia mashirika mawili ya Marekani ya Agriculture yamekatiwa zaidi ya ekari milioni kuanzisha Agro-industry sehemu za Rusumo? Nani mwenye hatari zaidi hapa, ni Wamarekani kuchukua ardhi (ambayo hamtaweza kamwe kuirudisha, kwani wataweka masharti katika mikataba, sawa na ardhi yenu iliyochukuliwa na wachimba migodi), au Wakenya ambao hata wakinunua utaweza kupita na kuomba maji ya kunywa?

Kama wewe kweli ni mmoja wa decision makers huko Tanzania.......... May God have mercy on us!
 
Why are you being so carnaptious? Let me tell you; I am neither perturbed nor addled by a numskull of your type. Your highfalutin only serves to show what type of a homunculus you are and that nyang'aus (not all Kenyans) are incompossible. Come back again you rasclaat!

gugu: weed, undergrowth, thicket, brush. Swahili Dictionary
 
... land is not among agreement on any EAC protocol so keep salivating.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…