Ok folks, so this december me and close family decided to take a tour of your lovely country and I must add i really enjoyed it. We decided to do it by road in order to get a real veiw of the country. We went in from nairobi to Arusha then to Dar and then to Zanzibar and back to Kenya through Mombasa.
First thing that struck me was the expanse of the country....wow, tracks and tracks of good arable land just sitting there idle...lool..sorry for being a kenyan but i just couldnt help but salivate. Arusha was a pleasant surprise...nice city, there was alot of similarities with nairobi.....the cool weather and the lush green gardens, the streets were a little narrow though. The night was really warm unlike nairobi (maybe it was just in the hotel we were in) . The food was grat and surprisingly cheap, we really get a raw deal here in Kenya.
The trip to Dar was amazing, really beautiful landscapes, great open spaces, very few people. I really enjoyed it. But the trip can be long ant tiresome. Another thing is buses go really fast there unlike Kenya. i guess they have to given the distances they have to cover.
Dar was ok, but damn, the town is soooo sleepy and slow, but i guess it was also the holiday season. i wonder how it feel like sometime in the middle of the year. The city also looked clean, which was nice. it wasnt as hot as i expected. Mombasa is certainly hotter. There seemed to be air conditioning everywhere even in the cheap hotels, made me wonder what the cost of electricity is there.
Zanzibar was the best place ever. The people for some reason seemed friendlier that those on the mainland, where we were called manyang'ua and wachafuzi wa nchi...etc.(but most people were ok) the food culture in Zanzibar is great, i loved it.
All in all i loved the country........cheers
Straddler. Mwendo wa 120 per hour ni wa kawaida kabisa ktk main road. Muhimu ni umakini wa dereva,ubora wa gari/basi na barabara.
Another bragger...
I traveled from Mombasa to Nairobi by Akamba Bus.... The bastard was doing 120 km/hour..!! Is that what you call slow?.. Good thing about the Mombasa-Nairobi stretch is that the road has a separate "climbing lane" on all up-hill potions, which all slow vehicles and heavily loaded trucks use to climb the hill.... Otherwise...God Almighty!!! I could have been up among the stars by now.
Mie nilidhani hujui unachoongea kumbe wewe ni mwathirika wa moja kwa moja wa wakenya? Acha kuhubiri injili kwenye mambo ya kitaifa; tangu lini kenya wakawa ni our natural partners badala ya natural enemies. Mie nawadharau sana wanaccm lakini ktk swala la wakenya tupo pamoja sana. Unasema wanasiasa wa kitz wanaogopa kuumbuka! nani anatakiwa kuogopa kuumbuka kati ya wanasiasa wa kitz na kikenya? Aliyefumbia macho familia chache zikamiliki ardhi ya nchi au yule anayesuasua ktk usimamiaji wa sheria za nchi? Hebu niambie ni wakati gani kenya imekuwa jirani wa kuaminika kwa TZ! Mie najua wakati wote kenya imekuwa ni adui wa uhakika wa kudumu. Wewe kama unafanya kazi na wakenya tafuta namna ya kuwafurahisha lakini sio kuja kupost unafiki hapa JF. Tena nikuhakikishie kabisa kuwa hao ndugu zako wakijitoa au kutolewa leo basi shirikisho linaweza kufikiwa hata kesho. Tatizo kubwa la EAC ni uhusiano mbovu kati ya TZ na kenya na kumaliza tatizo hili ni mpaka wakenya wafundishwe ustaarabu, ubinadamu na waache kupayuka payuka ovyo wakijifanya eti wao wako juu kwa kila kitu hapa East Africa.Nakushangaa mtu ambaye umeonja hata joto ya jiwe ya wakenya unaongea mambo yasiyoeleweka! Unaposema yale yamepita unatuhakikishiaje kuwa hata wakenya wanaona yale yamepita na sio kuwa njaa ya ardhi ndio inawafanya wajifanye wanataka umoja? Usitulazimishe watz tuwe uwanja wa wakenya kurekebishia makosa yao. Wewe sio mtu wa kutuambia ya kale yamepita, wewe ulitakiwa uwe unatushauri ni nchi zipi zimekuwa marafiki na majirani waaminifu wa Tanzania na hivyo ndio tuimarishe uhusiano ikiwezekana tuungane nao.What happened to my country? Tanzanians have become so unfriendly towards foreigners, especially the Kenyans. Hiyo naithibitisha mimi mwenyewe kwani niliwahi kumchukua rafiki yangu Mkenya kuja Tanzania...maneno aliyokuwa akiambiwa anapojulikana ni Mkenya, sikuamini. Kuanzia kuitwa kila mara kwa kebehi...wee Mkenya, hadi kuulizwa: mnafuata nini huku?!
Kwa kweli huwezi kufahamu hayo mpaka uwe Mkenya au uongozane na Mkenya.
Katika analysis zangu Watanzania wamefikia katika hali hii kwa sababu zifuatazo:
1- Kuathiriwa na wanasiasa- si kificho kuwa wanasiasa wengi wa Tanzania wako dhidi ya Kenya, kiasi hata kama jambo ni dhidi ya manufaa ya nchi. Mfano kujitoa kwenye soko la COMESA, kuwekewa vikwazo wawekezaji wengi wa Kenya kiasi kwamba sasa wana prefer Rwanda, South Sudan na Uganda. Wanasiasa hawa mara kwa mara wanatoa matamshi ya kuhofisha kuwa Wakenya watafanya hivi na vile, lakini kwa kweli wanaficha hofu yao ya kuumbulika, kwa maana nyingine wanaficha their 'inferiority complex'
2- Ufinyo wa upeo wa mawazo
3- Chuki za miaka ya nyuma: ni kweli katika utawala wa Kenyatta na Moi Watanzania walinyanyaswa sana Kenya. Kulikuwa na kufukuzwa-fukuzwa kila mara. Kuna wakati wazazi wa Kitanzania walifukuzwa na kuwaacha watoto wao sshuleni!i
Binafsi nilikuwa nafanya kazi Nairobi na kila siku ya Mungu wafanyakazi wenzangu Wakenya walikuwa wakiniuliza wee m-TZ utaruddi lini Kwenu?
Lakini jamani, wakati umesonga mbele sana, mambo mengi yamebadilika. Na kwa kweli Kenya is a natural partner to Tanzania. Kuna mengi yanayojumuisha Tanganyika na Kenya hata kuliko Tanganyika na Zanzibar.
Tusahau yaliyopita kwani mavi ya kale hayanuki.
Changanya na zako! sio za jirani yako. Automatically anaekuambia ndio jirani yako kwahiyo uchanganye na zako, ndivyo alivyosema mwenyekiti wenu wa ccm.Changanya na za jirani yako!
Straddler. Mwendo wa 120 per hour ni wa kawaida kabisa ktk main road. Muhimu ni umakini wa dereva,ubora wa gari/basi na barabara.
Are those places in the south?Ulibahatika kupita Mrina, Sewa, Kinos, SUn Siro, Bwawani, CCM Maisala etc ukiwa Bongo?, I think you could have enjoyed a lot .....
Naona ukenya (ugonjwa) wako unaanza kujitokeza. Chunga sana hiyo lugha ya kinyan'gau unayotumia!My goodness......I thought part of growing up is realising that generalising and sweeping comments are some of the most idiotic things someone can do. I guess some people havent learnt that yet.....SMDH
Naona ukenya (ugonjwa) wako unaanza kujitokeza. Chunga sana hiyo lugha ya kinyan'gau unayotumia!
Then you better stick to a civilizied way of expressing yourself!This thread was meant to cause a healthy discussion. I would prefer if we kept it that way. Thank you 🙂
Well, you are one of them!Please direct that comment to the most deserving contributers. thanks.