Mwana michezo mwenzenu najitokeza kuwapa hongera sana Man City kwa kuwa mabingwa wa BPL mara mbili ndani ya misimu mitatu. WAMESTAHILI!
Ukiachiliambali Man city kuwa mabingwa lakini vilevile kuna timu zingine ambazo mimi naona zinastahili pongezi za ziada.
Liverpool;- Tumishuhudia wakicheza kandanda safi na kufanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi. Ligi ilipoanza wachambuzi wote wa soka hawakuipa Liverpool nafasi yoyote na tulikuwa tukiona wakibishana kwamba nani atakuwa bingwa kati ya Man U, Chelsea, Man City, ama Arsenal. Sidhani kama lilikuwa ni kosa hasa ukizingatia Suarez alikuwa anaonekana kuwa unsettled. Timu ilikuwa haina budget kubwa na kushindwa kununua wachezaji kama Diego Costa, Henrikh Mkhitaryan etc. Ila juhudi na mfumo sahihi kwa wacheza waliyokuwepo vimeonekana kuwa suluhisho.
Sunderland;- Ligi ikiwa imefikia katikati ya mwezi wa nne, timu hii ilikuwa mkiani. Kuwa wa mwisho haikuwa hoja sana kwa wakati ule ila mechi zilizokuwa mbele yao ndiyo zilikuwa zinaleta hisia kwamba wanaweza wakateremka daraja. Wamefanya kinyume na mawazo ya wengi na wanastahili pongezi.
Everton;- Watu wanaweza kusema kwamba Moyes aliicha Everton katika hali nzuri ila hakuna ubishi kwamba Martinez amebadilisha kwa kiasi kikubwa uchezaji wa timu yake. Msimu uliyopita tuliona Moyes akitegemea sana long balls and crosses to big guys like Fellaini. Lakini msimu huu tumeona magoli vilevile yakipatikana kwa move za katikati kupitia kwa McCarthy, Leon osman, Deulofeu & ross Barkley…his goals against Newcastle and Man city should compete for the BPL goal of the season!
Southampton;- Katika gemu zote za Southampton nilizoziangalia, hakuan hata mechi moja ambayo siku enjoy. Hatuoni majina makubwa katika timu hii ila spirit na ufundi wa kiwango kizuri. Njia pekee ya timu kupata mafanikio ya ufundi and football fluidity tuliyoiona ni kufanya investment kwa vijana wadogo. Academy ya Southampton imetuletea Theo Walcott, Oxlade Chamberlain, Gareth Bale na sasa the likes of Lallana na Luke Shaw
Nimetaja timu chache lakini najua na wewe unazo ambazo ungependa kuziongelea…uwanja ni wako
Apart from teams BPL 2013-14 imetupa burudani ya kuona vipaji binafsi. Kuna vile tulivyovitarajia na kuna vingine hatukuvitarajia.
After saying that then, below is my best 11 for BPL 2013/14
Goal Keeper; - JOE HART
Defenders; - SEAMUS COLEMAN, PER MERTESACKER, VICENT KOMPANY & LEIGHTON BAINES
Midfield; - EDE HAZARD, STEVEN GERRERD, YAYA TOURE & ADAM LALLANA,
Strikers; - SERGIO AGUERO & LUIS SUAREZ

unazungumziaje 'kombinesheni' ya TERRY & CAHILL ukizingatia kwamba CHELSEA FC wameruhusu magoli 27 tu msimu mzima?
Pia inapokuja suala la kulinda goli huoni kwamba mabeki wa CHELSEA FC wana kipaji cha pekee?🙂
Naomba kutoa hoja.
cc. Ntuzu, Mentor, Mbu, Nzi, Mosdef, Gwahamala,
Mkuu...usiwape sifa hao mabeki wenu coz nyie kilichosaidia msifungwe goli nyingi ni kupaki basi-mfumo ambao timu nzima inageuka kuwa mabeki aka 9-0-1!
1.joe hart
2.coleman
3.luke shaw
4.cahil
5.kosceinly
6.fernandinho
7.stearing
8.yaya toure
9.suarez
10.larana
11.hazard
sub:
Company
shneiderin
baines
sturridge
coutinho
de gea
cech ni bora kuliko hart kwa kulinganisha 'clean sheets'.
Pia sioni kama midfield iko sawa: Je, wale wa kuzuia hawapo mbona hiyo timu itafungika kwa urahisi sana gerrard atakapoteleza?:smile-big:
Mkuu...usiwape sifa hao mabeki wenu coz nyie kilichosaidia msifungwe goli nyingi ni kupaki basi-mfumo ambao timu nzima inageuka kuwa mabeki aka 9-0-1!
beki za chelsea ni nzuri sana ukilinganisha na man city,msimu huu cahil alikuwa bora sana na combination na terry,azpilicueta na ivanovic ndio siri ya ubora wa cech mimi kura yangu naitupa kwa hart kwani beki zake zilichoma sana lakini alikuwa imara langoni
Sturridge na Cahill inabidi wawepo hapo.
toni pulis, manager of the season
unazungumziaje 'kombinesheni' ya TERRY & CAHILL ukizingatia kwamba CHELSEA FC wameruhusu magoli 27 tu msimu mzima?
Pia inapokuja suala la kulinda goli huoni kwamba mabeki wa CHELSEA FC wana kipaji cha pekee?🙂
Naomba kutoa hoja.
cc. Ntuzu, Mentor, Mbu, Nzi, Mosdef, Gwahamala,
Cech ni bora kuliko Hart kwa kulinganisha 'clean sheets'.
Pia sioni kama midfield iko sawa: je, wale wa kuzuia hawapo mbona hiyo timu itafungika kwa urahisi sana GERRARD atakapoteleza?:smile-big: