My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Sure man,Najizuiaje nisimfikirie?Kuna namna ya kujizuia.Nipe mbinu hapa?
 
Kama utaamua kumrudia wewe ndiye utakuwa ulimkosea lakini kama sivyo achana nae kabisa
 
Pia she is ur ex nothing will change eti ukimtafuta... Na pia unajuaje kama ana enjoy life inspite anayopitia? Kama angekua anakupenda angekujulisha acha kujiuliza maswali mengi hakuna kitu hapo kwamba atakua amekumiss?

Hujawajua wanawake wewe bado, ingekua amekumiss labda angeanza kukuweka karibu na mtoto uliezaa nae
 
Umefanya kama vile kuwa na moyo wa kike ni TUSI.Ila kwa jinsi nilivyokuelewa ina maana I am not over her yet.So HOW do I get over her.
 
Pilipili ya shamba yakuwashia nini mjuba ?
 
Acha kujiuliza maswali mengi mliachana na kila mtu anasonga na maisha yake, unavyomuwazia huyo uliemuacha je ulishawahi kuliwazia la huyo uliokua nae ambae humpi attention kubwa kama ex wako? Kwa ufupi umefeli na kwa hili ndiyo maana hata ex wako hakuamini hata kidogo
 
Kwanza fikiria,je ingekuwa ni wewe ndio huyo mwanaume halafu kuna mwanamme,mwingine anakufanyia huu mpango uachane na mke wako,wewe ungejisikiaje?,
Kabla ya kuchua hatua fulani,mfikirie huyo mwenzio unayetska kumfanyia huo ujinga
 
Uko sahihi sana.Nakubali mimi ndio mwenye matatizo so how do you FIX that.How do I get over her?
 
Niliye naye tuko sawa.I am doing my best BUT how do I get over this?
 
Shinda kwanza mechi zako mkuu, Mambo ya kuchungulia mapambano ya wenzako utashtukia huyo mtu wako mpya naye anapelekeshewa 'mkuyenge' na wahuni.
 
Kwanza fikiria,je ingekuwa ni wewe ndio huyo mwanaume halafu kuna mwanamme,mwingine anakufanyia huu mpango uachane na mke wako,wewe ungejisikiaje?,
Kabla ya kuchua hatua fulani,mfikirie huyo mwenzio unayetska kumfanyia huo ujinga
Sina mpango wowote ninaofanya.Ila taarifa hio imeniathiri najihisi kwamba natakiwa nifanye kitu kwa ajili yake.Na sipendi hio feeling given our history
 
Dah
 
UtaVunja Unyumba Wa Watu, Wenyewe Wanaishi Vema Pamoja Na Kipigo Hujaombwa Lolote, Halafu Inaonekana Tangu Uachane Naye Unamfuatilia Bila Shaka.



Utamsaidiaje Mtu Ambaye Hajakuomba Msaada
Hata Kama Anaumia Yupo Kwake!!!!
Tulia Kwako
 
Wacha Kesho ijihangaikie yenyewe !!.


Namaanisha ivi, jambo pekee na la msingi niwewe kuhakikisha kua kipigo anachopewa hakiathiri mtoto wako.


Haya ukimuachisha Ndoa ,utamuoa??? Unacheza na akili za wanawake????... Anaweza pigwa mpka pua ikaamia kisogon lkn asiondoke!!!.


Huyo sio mtoto, Sio kwamba hana akili. Ile akili alotumia kukuacha sababu ya uchumi. Ipo siku ataitumia kumuacha alonaye sababu ya kipondo.


Ili mradi wee hukuwa chanzo cha kumuacha, basi acha kujijutisha namna hiyoo Jombaaa .


Hata Zubeda wa Prof J, kile kipindi alimkimbia Jamaa, akapata mimba huko kwa viwanjax wahuni wakamtema, mwisho akarudi kwa prof J, J ameshaoa na anawatoto... Wee uliona Prof J anawaza km wewe????? Basi fanya km Prof J alivofanya





Fungua Moyo wako na Umsaidie siku ile tu atakapohitaji msaada wako.
 
Hujakoma tu! Mrudie uone mziki wake hawa Binadamu ni wa kuangalia kwa mbali tu.Mungu amekusaidia wewe endelea kula bata na maisha yako Dunia ni katili sana wewe jipendekeze tu
 
Mkuu,Prof Jay alifanyaje?Aliwezaje?Is there some therapy or method of ignoring your feelings?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…