My ex is back

kuna wanaume bil 83.7 duniani............wewe tu......
hii tafiti umeitoa wapi "" mkuu" maana population ya binaadamu wote duniani " ni billion 7... sasa nashangaa kuona wanaume tukiwa kwenye hiyo idadi " ilhali tunaambiwa kuw wanaume tupo wachache "" ...so kwa mantiki hiyo ya kiwango chako " wanawake watakuwa wapo wangapi sasa "".. na population ya binaadamu itakuwa inafikia 300s billions basii"...
 
jamani!!!! hivi wanaume nanyinyi huwa mnaumia kweli kama ambavyo huwa mnaumiza wapenzi wenu kweli, kweli!!! huwa natamani kuwalaani, lakini ndo hvo, dua la kuku halimpati mwewe! mi naona nyie huwa hamuumii vile!
kwakuwa miili Yetu haina hisia " hatuna ubongo wala moyo " na roho ama ""'!!?
 
mwanaume " kukwambia neno " nakupenda ..nakuhitaji" wewe ndio mtawala malkia wa sheba wangu" ni jambo la kawaida tu " kama kuku kula mchele"" Mara nyingi hayo huwa nimaneno yanayo tumika kama mtego wa kuvua samaki baharini"" Mara nyingi huwa hatumaanishi ukweli wa kile tunachokihubiri""... huwenda huyo Jamaa yako amemiss mahaba yako so Anataka akutafune tu "" hiyo huwaga inatutokea sana tu "". huwenda ikawa huyo Jamaa yako kwa wakati huu anauhaba wakuwa na wanawake kutokana na kupatwa na magundu au kushuka kiuchumi"" so anakutafuta ili umpe papuchi kwakuwa anaukame"".. "" sianajua kuwa wewe kwake haupindui na ndio kifuta nyege chake "" ....

umenishangaza sana "" yaani MTU alikuwa anakufanyia visa " halafu ikawa unamsubiri yeye ndiye akuache " "" kwanini isiwe wewe ndiye umuache yeye"" huna maamuzi yako binafsi " unaishi kwaajili yako au kwajili y watu wengine ""... muwe mnajifunza kujipenda nyie wenywe kwanza ....""Aaagh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lady ..amenishangaza huyu ""..sijui anadhani sisi ni maroboti "" kwani hajawahi hata kusikia kwenye vyanzo mbali mbali vya HABARI ""kuhusu wanaume waliojiua kwaajili ya matatizo ya mahusiano ya kimapenzi
 
Anza kutombw.a na mwanaume mwingine utamsahau fasta huyo maluuni
 
Labda mkiambiana wenyewe ndo mtabadilika, kiujumla wanaume mmekuwa watu wa hovyo kitabia na utu
Nyie ndo mnatufanya tuwe hivo
Nyie ni makatili hamna utu
Ndo mana tunaamua tuchape na kusepa
 
Unae mshauli atakua kashaolewa na watoto kibao maana Uzi unamiaka 6
 
Wewe utakuwa Limbuken wa Mapenzi, hayo mapicha picha yote yanatosha kuonyesha hakujali,. labda kama una miaka 23, ila kama uko matured, mwambie achape mwendo na ww tayar una mwanaume mwingine,au mwaka mzima hujawa na mahusiano ? ww haulipi?
 

nimejumlisha binadamu na majini............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…