My ex is back

Sawa Boss, nimeweka Aya. Naomba unipe mawazo yako tu ndo maana naomba ushauri
Nakuonya kutafuta ushauri JF. WanaJF tuko wanafiki na kawaida akinamama watakueleza achana naye wakati wao mh! Ushauri wangu ni kuwa mpe nafasi kwa masharti mapya. Utaacha wangapi dada yangu katika dunia hii, heri ya zimwi likujualo.
 
Keep it in mind that Hawezi kubadilisha tabia yake na mara nyingi mahusiano ya watu walioachana kisha wakarudiana huwa hawadumu huachana
Inavoonekana kwa mwenzangu uhusiano ulikuwa unaendelea labda aliuacha upoe kidogo labda!! Ila kwa mwenendo ulivokuwa tofauti na majibu yake mi Nlielewa na kukubali tumemaliza uhusiano
 
Nakuonya kutafuta ushauri JF. WanaJF tuko wanafiki na kawaida akinamama watakueleza achana naye wakati wao mh! Ushauri wangu ni kuwa mpe nafasi kwa masharti mapya. Utaacha wangapi dada yangu katika dunia hii, heri ya zimwi likujualo.
asante ndugu yangu
 
Dah!Unatia huruma binti.Atakuchezea sana huyo usipojifunza kuusimamia moyo Wako wewe mwenyewe.
 
Nakuonya kutafuta ushauri JF. WanaJF tuko wanafiki na kawaida akinamama watakueleza achana naye wakati wao mh! Ushauri wangu ni kuwa mpe nafasi kwa masharti mapya. Utaacha wangapi dada yangu katika dunia hii, heri ya zimwi likujualo.
bila shaka uko floor namba moja ya Bugando hospital.
 
bila shaka uko floor namba moja ya Bugando hospital.
Nakubali kuwa kichaa kwa kusema ukweli. Fanya tathimini ya ushauri unaotolewa hapa utagundua wote ni wa kubomoa tu. Maisha siyo hivyo, kuna kusameheana na kusonga mbele katika maisha ya kimapenzi. Uliza watu waliodumu katika mapenzi/ndoa kwa muda mrefu kama miaka 20 na zaidi utaona haya yote ni madogo lakini uvumilivu ndiyo msingi wa kulea upendo. Dawa ya moto si moto bali maji. Naishia hapo maana daktari wetu hapa Bugando (wa vichaa) ananiita anipe dawa-)
 
hivi mapenzi yapo ili niyavumilie au niyafurahie? Kama hajanioa anakuwa mkatili kweli maisha yataenda?
 
hivi mapenzi yapo ili niyavumilie au niyafurahie? Kama hajanioa anakuwa mkatili kweli maisha yataenda?
Kila chenye utamu kina machungu yake ndugu. Maisha ni kuvumiliana period. Mfano wa maisha ni kama chakula, ukila kitamu kesho yake kule chumba tunapokwendaga private harufu ni mbaya sana ila ukila chakula cha hovyo kesho yake hata harufu huisikii. Ukiona unafurahia katika mapenzi jua mwenzako unamuumiza(mfano kwa sisi vijana wapenzi wetu wanapenda kwenda outing na sie visenti tunavipata kwa kubeba zege. Je, atakupa k bila hata kumpeleka gesti ambapo pato lako la mwezi linaishia hapo? Kumbuka yeye atakuwa anafurahia na wewe utakuwa unaumia kimoyomoyo. Hasira za kupoteza mapato yako utataka kufanya hadi asubuhi na utakuwa unamuumiza na kumchubua etc. Merci)
 

Hayatuhusu.
 
mtu ambaye humuombi hata sh. Mia kwanini akunyanyase, hili ndo swali hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…