Mwambie poa tu, asisahau kuzweka hapa JF!😛oa
Da pole. Usiwe unamjibu wala usitake afahamu life status yako kabisa. Badilisha line ya simu achana naye. For your peace!
LEOrnad robert wala kumtisha mtu kama huyu ni kukaribisha ligi zisizokuwa na msingi. Busara apige kimya kisha amfungulie Rb ili akijaribu kumuumiza kisaikolijia sheria ichukue mkondo wakesio wote,huyo ni gumegume mchafu nayeye mtishie kumtafutia wahuni wa kumdonoa uwani,atakoma tu!
Pole sana dada,huyu mwache akiona hufurukuti basi atanywea mwenyewe. usitake mawasiliano naye kabisa.
Ila ikweli wanaume mnatutesa sana hebu tuoneeni huruma wenzenu, nasi pia twaitaji kuona raha ya maisha. Dunia siyo yenu peke yenu jamani.
Yaani Sabry001 umeniumiza sana manake, leo nimekutana na zahama huku tena na wewe umekuja na hili lol mwaka wetu huu.
hizo msg zitunze, mchujulie rb huyo....
Kingine roho inamchoma, kakuta kuna miba huko ndo kakumbuka shuka wakati kumekucha......
Kama unaweza usiwasiliane nae, hata fb, m-block......
Na nyie wanaume sometimes mnakuwaje?????
wakati fulani muwe wakweli ninyi wakinamama!.....
no wonder...!unamuita eksi...again unaintertein chats za mapenzi...na vocha unamwomba akutumie.....!
king'asti hilo neno "make him your past" lina ujumbe mzito sana.....!mwenye kuling'amua naomba ashike neno