My ex gf's husband ananitishia maisha

sa we hapo kosa lako ni lipi mpaka utishiwe?
 
hata sku ukija na hoja yenye maana, mizaha itakugharimu.
 
kumekucha lisemwalo lipo kama halipo laja Gogle pokea ushauri usichague. kutekeleza tumia busara ulizopewa bure na Muumba
 
Last edited by a moderator:
we hujaendelea kumfuatilia huyo demu baada ya kuolewa kweli? Maana kwa nn atake kukupoteza?!
 
Pesa hukua nayo yakutosha mpaka demu wako kachukuliwa mimba yako ikatolewa na mazagazaga tele,jamaa muuza sembe ivi kweli awache shughuli zake zakufichaa sembe lake akufukuzie wewe kwa lipi? Sema Kama wewe umeanza kumchukulia mkewe na amekushtukia au Huyo mwanamke alokua demu wako amekosa service kule kwa ajili mume Yuko busy na kusambaza sembe kakuona wewe ndio mtwana wa ngono akakuletea sasa mshika dau kakushtukia ndio unajuam, ebu eleza ukweli kuchukuliwa kupo Mkuu inaweza kua good service provider,lakini pesa huna,na mwenzio anazo lakini shughuli zero,sasa ebu tujuze ukweli....
 

Kamuone kova mueleze mkasa wako vizuri nenda central gorofa ya tatu juu nenda utapata ulinzi wa kutosha kova anapenda sana skendo kama hizo
 
we hujaendelea kumfuatilia huyo demu baada ya kuolewa kweli? Maana kwa nn atake kukupoteza?!

Ni kweli nilikuwa nabofya Mara moja moja, Lkn muzee ya sembe hajashtukia, inaonekana bifu ni kwasababu mkewe hashiki tena mimba na anaona Mimi ni chanzo
 

hujaeleza sababu zinazomfanya atake kukufanyizia.inavyoonekana una mahusiano na mke wake au keshagundua una mawasiliano na mke wake.mtu sio chizi from no where atake tu kukufanyizia.dem kakunyang'anya sawa,mimba kaitoa yeye na kama dem aliharibu kizazi hiyo ni juu yao wewe huusiki sasa kinachofanya akurudie nini?mind ya wayz bro
 
Ni kweli nilikuwa nabofya Mara moja moja, Lkn muzee ya sembe hajashtukia, inaonekana bifu ni kwasababu mkewe hashiki tena mimba na anaona Mimi ni chanzo

jitambue mkuu.kinachofanya akufanyizie ni kwa sababu unatembea na mke wake.ulivyo na mawazo finyu unajifariji eti hajastukia.mke wake kutokushika mimba wewe unahusika nini?au wewe ndo unapaswa umpe mimba na umeshindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…