Asnam
sasa hapo shost unakosea,huyo dada hana mpenz kwa sasa....she can decide on her own....lakini kama yupo kwenye mahusiano mapya..kwa hali ya kawaida tu lazima itamuumiza mwenzie make itaonesha she's still in love kwa mshkaji...lakini kama yupo singo kama alivyojipambanua hapa...amsaidie tu...inawezekana jamaa ana shida kweli...huwezi jua....
LAKINI,kuna kitu nakifahamu nyuma ya hilo(siamini kama kweli jamaa anataka mkopo kwa kuwa ana shida na amekosa pengine,ila ameona huyu dada bado kama 'anajipendekezapendekeza' kwake....kwa kufahamu bado anampenda kaamua kuwa awe anampiga hata mzinga kumfariji dada wa watu)
Halafu,kwa nini na wewe uendeleze mawasiliano na mume wa mtu? unatafuta nini? bora basi kama ni Ex na bado yupo sigle....lakini jamaa kaoa tayari...haina maana hata ya kuendelea kuwasiliana nae....
Siku mke wa jamaaa akigundua itamuuma sana.....(talking from my experience)
Ni hayo tu!
cc Munkari
kumbe mtoa mada ni ''ke'' kwangu mie haijalishi ukishaitwa x mawasiliano ya kukopeshana yanatoka wapi jamani,ye kama anampa ampe msaada kama katoa kituo cha kulelea watoto yatima lakini,bandubandu.............hako katabia kataendelea tu tena ukiwa single ndo kabisaaaaaaa unajikuta mnarudisha majeshi tamaa za mwili ni kitu kingine na ubongo ni kitu kingine.
He is using you.Cut him off,he is a looser .No returning backHabarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
Halitanii liMwali bwana, yalinikuta kwani madogo?
Khaaaa! hakyanani namwita kumwambia umemsema, tapeli mkubwa wee!Haki nimejuta mno! Ila kwa kuwa alikuwa best friend wangu siumii sanaaaaaaa
my dear, giving loan to your ex is not good at all unless you want to re-connect the brocken link! anyway the decision is in your hands!Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
Fanya itakavyokupendeza.
Hiyo fanya kutoa tu. Mi wangu alikujaga na gea hizohizo, baada ya kumdai akaanza eti kukumbushia nguo alizokua akinifulia na chakula alichonipikiaga eti hakufanya bure!!
mkeo ana kazi sio kidogoFirst thing first, hela haiazimwi, iazimwe kwani kitu ?
Inakopeshwa.
mkeo ana kazi sio kidogo