kuachana sio uadui, kama una nia ya kumsaidia ni jambo zuri na kama huna nia hiyo ni roho mbaya.
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
Msaidie tu kama una moyo wa kumsaidia,ipo siku utapata tatizo nae atakusaidia,ndivyo binadamu tunavoishi huku chini ya jua,
Huhitaji kuwa na complications nyingi hadi kuanzisha thread kisa umeombwa kumuazima mtu sh.20000...
Anyway....kila mtu ana moyo wake kiukweli....me naona rahisi tu....
Hiyo fanya kutoa tu. Mi wangu alikujaga na gea hizohizo, baada ya kumdai akaanza eti kukumbushia nguo alizokua akinifulia na chakula alichonipikiaga eti hakufanya bure!!Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
nyie wanaume mnajifanya baba huruma eti hakuna shida lakini ukisikia girlfriend au mke anamsaidia x wake mnamind sana,sijui huo ubinadamu uko kwenu tu au vipi, muwe mnapima basi kwenye mizani hicho unachokifanya na mwenzio akikifanya utajisikiaje?