My Biggest Secret

[emoji1787][emoji1787] hii ni siri au uraibu wa kitoto..? Sasa kidole aisee nafikiri ulimi wako utakuwa hadi umetengeneza ramani ya kidole chako! Na kithembe kitakuja tu thawa mrembo..?
Ni kithembe au kinem*e?
 
Mkuu hapo kwenye dentition umetuchukua........ Kunyonya vidole kunasababisha mpangilio mbaya wa meno... Lipo wazi😎
 
Halafu wanyonya vidole wengi wa kiume style yao ni hiyohiyo[emoji23][emoji23][emoji23], naona huku akinyonya anakuwa anaingizia gia taratibu[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna vitoto vya kiume mapacha vinanyonya kidole huku mkon mwingine upo unashika kidudu yni kutwa nzimaa mpaka analala apo apo ukimshtua anaacha chap
Kuna m1 huyo yeye ananyonya viwili kingne kile kidogo anaingiza puani..hapo ni hadi usingiz unampitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…