My best shot...onyesha yako...

kama bado uko porini nichekie pembe kadhaa za ndovu ukifika town tutamalizana!
 
Shoti yangu,kazi ya mikono yangu niliwanasa wanachama na wakeleketwa wa ccm wakipakizwa kwenye maroli kuelekea kwenye mkutano....pia walipewa tisheti na elfu 10 kila mmoja
 

Attachments

  • 1444481864667.jpg
    20.7 KB · Views: 785
  • 1444481939140.jpg
    21.7 KB · Views: 736
Nimeumola, ila sio mbaya.

Ngoja niishie hapa
 
Hii ni Serengeti National Park...Seronera.......
Mimi ni noma......

Niliwaza hiyo mambo tu, nashindwa kusinzia aiseee.....
 

Attachments

  • 1444498037441.jpg
    19 KB · Views: 591
Aisee........sio kwa uongo huo......
hao umbwa mikono yao imekwenda wapi.......?.......
Kwanza nipongeze kwa kazi yangu nzuri, kisha nitakupa siri ya mafanikio yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…