Habari za humu, kwa takribani two years nilikuwa napata kipato cha ziada via Google ads kupitia apps zangu, dah leo nimepokea email kwamba my account has been terminated nimepata shock kidogo by the way maisha lazima ya endelee..kuna mtu ana admob account ambayo ipo verified aniuzie ili niweze kuendelea na shughuli zangu.
Natanguliza shukrani.