Mwongozo wana JF tafadhali...

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
2,942
Reaction score
1,302
Ninawaomba kama kuna mwana jf anayefahamu utaratibu/kanuni zinazozingatiwa katika ulipaji wa fedha za likizo kwa mtumishi wa serikali.
 
Unatutia wasiwasi,umeajiriwa husomi nyaraka zinazokuhusu kama mfanyakazi,au ndio nyinyi mkiajiliwa kila kitu usimuliwe na wenzako,nakushauri utafute staff regurations za serikali,hasa sehemu inayohusu staff benefit,pia ujue utaratibu mzima wa kupeleka claim zako za malipo.
 

asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…