Mwongozo wa kuvunja laana

Watu wanaoongoza kwa kuamini kwamba;
1. wanarogwa sana
2. Wana laana sana
3. Mapepo yanawafuata sana

etc
NI WALOKOLE
 

Nimekuelewa
 

Leo nilikua naongea na msukuma mmoja akaniambia sisi wasukuma ni matajiri kwasabu hatuachi mila!
Tuna dini lakini lazima tufuate mila dini haiwezi kunifanya niache mila na mila hainifanyi niache dini

Kwamba naweza kuoa wanawake sita na nikajenga kanisa nyumban tukawa tunaabudu tu kwasabu Mungu ni wa upendo na ndiyo maana unakosa unaungama unaendelea!
 
Utajiri na mila wapi na wapi
 
Huyo siyo msukuma, kakudanganya tu ama wewe ndo umeelezea kwa kujaza chumvi
 
Wazungu ndivyo walivyokudanganya
Na wamedanganya kweli. Ingekuwa hizo laana zinavunjwa na hao manabii basi Tanzania tungekuwa hatuna watu wanaojaa huko kwa manabii huku wakianguka mapepo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…