Mwongozo wa kuvunja laana

8. Anza kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufuata mapenzi yake yatakayokufanya umjue yeye sana.
Hapa ungeandika tu waziwazi kuwa "anza kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU kwa kushika Amri zake zote na imani ya YESU KRISTO".

By the way, sipingani na ulichokiandika, bali, nimeongezea tu.
 
Njia rahisi na ya uhakika kuneutralize haya mambo ya laana, mikosi na ishu za mizimu ni kupitia utoaji wa sadaka na kuinenea. Hapa sadaka zote kuanzia kulingana na utakavyo jaliwa mfano mali,pesa,nguvu,mda,nk kwa lengo la kukugusa uhitaji wa mwingine.

Mfano
1.Saidia muhitaji yeyeto
2.jitolee ujenzi wa chochote cha kijamii
Kupitia sadaka yako Mungu anatenda jambo
 
MCh Nicodemus Mhangalia huyu ushughulika na takataka zote iwe ni vijumba vya mizimu, wachawi na uchawi wa KILA aina.
Atishiki na sarafu au pesa walizopewa mizimu anabeba na kuzitumia
 
Tambika vizuri kwenye mizimu yako ya asili, wao ni kiunganisho chako na Mungu wa kweli. Utaishi kwa amani duniani na utakuwa huru. Ukidharau hao mababu wa zamani laana zitakuandama.
Huo ndio ushirikina wenyewe.
Wa kuabudiwa ni mmoja tu duniani na mbinguni,MUNGU.
 
Tambika vizuri kwenye mizimu yako ya asili, wao ni kiunganisho chako na Mungu wa kweli. Utaishi kwa amani duniani na utakuwa huru. Ukidharau hao mababu wa zamani laana zitakuandama.
Kwann hatuifagilii mizimu shida ni kwamba mizimu haitaki maendeleo,hofu watu wakiendelea wataacha kuabudu mizimu.
Ukiwa na maendeleo utawapeleka watoto shule bora watapata elimu na connection wakipat maisha bora hawawezi tambika mizimu wakitegemea Elimu zao.Mizimu inaendana na umasikini.Elimu ni adui wa mizimu SAwa na dini.
Waafrika wengi wapo jinsi walivyo kwa sababu maisha yao yapo connected na mizimu na mizimu ndio inazuia maendeleo.
 
Amina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…