Mwl. Wife material urgent need

Kobe_mzee

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
445
Reaction score
153
Sifa
-mweupe
-22-25
-160-167 sm kwa urefu
-awe wa shule ya maingi preferable
-awe dar kikaZi
-asiwe mnene tafadhali
-muumini wa muungano wa serikali tatu

Serious ones PM
 
Hiyo sasa ni kashfa ..kim.., kwani haraka ni matusi?
 
Hiyo sasa ni kashfa ..kim.., kwani haraka ni matusi?

Pardon....! Kuna sehemu nimetaja tusi Mr Kobe? Pliiiz usinichonganishe na mleta mada aka shemeji mtarajiwa.
Evelyn Salt mwenyekiti wa cwt ya humu ndani, msaada unahitajika huku.
 
Last edited by a moderator:
You old tortoise, you look not good. Why you needing my your wife quickly quickly?
 
Acha udomo zege tembelea mashule yote ya Dar ukikosa ujue una gundu.
 
Pardon....! Kuna sehemu nimetaja tusi Mr Kobe? Pliiiz usinichonganishe na mleta mada aka shemeji mtarajiwa.
Evelyn Salt mwenyekiti wa cwt ya humu ndani, msaada unahitajika huku.

Umenshtua nipo naandaa notes za kesho
naona kwenye soko la kuolewa tupo njema
mchumba ye anafanya kazi gani eti?
 
Umenshtua nipo naandaa notes za kesho
naona kwenye soko la kuolewa tupo njema
mchumba ye anafanya kazi gani eti?

Samahani kwa usumbufu Mwenyekiti. Ngoja nimuulize, Eti Kobe_mzee unafanya kazi gani?
Mwenyekiti kashafika na mafaili yote anayo yeye.
 
Last edited by a moderator:
Mi ni mwl. Pia ila wa elimi ya juu kdg
 
You old tortoise, you look not good. Why you needing my your wife quickly quickly?

Muda wa kuoa umefika, na wkend iliyopta nlikuwa kjjn kwa bibi kanidiss kinyama. Kwa hiyo natafuta the rigth she to be by my side. Nliowahi kuwa nao hawasomek
 
Walimu wameingiliwa. . . . .

Hivi hii dhana ya kupenda kuoa Mwalimu ilianzia wapi maana saiv naona wako kwenye chat
 
ushauri wa bure,
mwisho wa mwezi huu nenda kakae mahali popote ilipo ATM ya NMB utachagua unaemtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…