Mwl mwenzangu anataka mume

ina maana huyo mdada hatongozwi?duh mbn majanga!!! wengine tunatongozwa na tuna mapete mkononi aic mxiew....ila nakushauri sidhan km utampata mume humu labda uniambie wa kupass nae tym...sijui nikupe pole?
 
Mmh ! Kawakosa huko ktaa ndo anakuja hum ....mmh haya bana acha tumuombee apate mcharuko mwenzieee
 
salama jaman!
....nisiwe mnafki...japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka...ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious...ni mwl yupo mbeya uyole...ana 28...hajawai zaa...she is a ngoni one.primary school teacher...maji ya kunde kuelekeaweupe ...mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo.mpole sana...mambo mengine mtaulizana.

samahan jaman...yupo serious sana.Naomba pm ...msije na utaniutan jaman plzz.
Upo serious njoo private.
 
Wangoni si wale wa Ruvuma? Nasikiaga wakisindikizana hawafiki safari lazima walale njiani.

Wanao karibia kuoa mchumba huyoo
 
ina maana huyo mdada hatongozwi?duh mbn majanga!!! wengine tunatongozwa na tuna mapete mkononi aic mxiew....ila nakushauri sidhan km utampata mume humu labda uniambie wa kupass nae tym...sijui nikupe pole?
Mrs Air acha kutufukuzia ndege buana,, wengine tuna ugwadu wa karne nyingi....:rolleyes: :D
 
Back
Top Bottom