MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Jamaa simuelewagi kabisa mafundisho yake...is like...mtu ambae kasoma kitabu cha THINGS FALL APART afu anakuja kutusimulia kilichoandikwa kwenye hicho kitabu kwà kutumia Akili yake.Ukiona wachungaji sijui manabii wanasemana sababu kuu ni sadaka ila kila mtu na imani yake bwana mwakasege namkubali sanaa na mwamposa pia ila kusali kanisa langu kkkt siachi
Truth must be toldChawa
Watu walishachoka kusikia ma historia....watu wanataka kuona experience.huyu ni mwalimu na yule ni mtume. usiwafananishe/linganishe
ThibitishaUnapotosha watu.
Huna Akili kumfananisha Mwalimu Mwakasege na huyo Mtume Wenu ni sawa na Kumfananisha Lionel Mwakasege Messi wa PSG FC ( France ) na Clement Mwamposa Mzize wa Yanga SC ( Tanzania ) sawa?Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Kumbe humwelewagi hata huyo Mwamposa anaposema usiwaingize waumin kwenye vita zao.Thibitisha
Nini kimetokea?Aposto kuna muujiza huku..!!
Anyway namkubali sana Mwalimu Mwakasege,masomo yake yamenivusha pakubwa. Hayo mengine sijui kwa kweli.
Nilikua namfuatilia zamani ...ikafika mahala nikaona ...anahubiri historia...na sio experienceUsifananishe mwakasege na hao unaowapigia promo.
Mwakasege Ni level nyingine kaka.
Vipi kuhusu nyomi? Check la Mwamposa....daah kama la Yesu kabisa yani!Huna Akili kumfananisha Mwalimu Mwakasege na huyo Mtume Wenu ni sawa na Kumfananisha Lionel Mwakasege Messi wa PSG FC ( France ) na Clement Mwamposa Mzize wa Yanga SC ( Tanzania ) sawa?