[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni rahisi kushauri ukiwa umekaa kwenye kiti!
Wadanganyika ni wataalam wa Domo kuliko vitendoWampe timu basi tuone maajabu yake naye!
Ova
Kashasha naye ni walewale...kama alikula mgao wa Hamsini Milioni, naye Mtwara kuna muhusu apeleke mbinu za blockbuster tukabangulie Korosho, huku tukiwatumia Msuva na Kichuya ktk kupakia magunia kwa kasi.... Kujaza One ghala or two ghala kwa siku itapendeza......Usiwe mbahili wa mb fungua video msikilize Mwl kashasha akimfundisha Amunike mbinu ili kuwafunga Lesotho...kwa bahati mbaya Amunike kaingia kwa kupaki basi hakufuatisha ushauri wa kashasha
Usiwe mbahili wa mb fungua video msikilize Mwl kashasha akimfundisha Amunike mbinu ili kuwafunga Lesotho...kwa bahati mbaya Amunike kaingia kwa kupaki basi hakufuatisha ushauri wa kashasha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wadanganyika ni wataalam wa Domo kuliko vitendo
we hushangai Ulaya wachambuzi wa soka ni wachezi walicheza kwa kiwango kikubwa huku kwetu wanaojua kupiga Maneno nakukariri wagazeti ndio wachambuzi