Mwisho wa ubaguzi na tambo za Naibu spika

Wanaingia asubuhi wanasaini ili wasikose posho akiingia Naibu Spika Dr wa Sheria wanamkimbia. Hili ni kutoroka sio kususa, unasusa halafu unasaini posho ya kikao alichoongoza Dr Tulia lakin unajifanya kususa.
 
Back
Top Bottom