" Namba unayopiga haipokelewi kwa sasa tafadhali,,,,,,," ukijaribu tena unaambiwa " Namba unayopiga inatumika kwa sasa tafadhali jaribu........" Kama hukati tamaa unapiga tena jibu ni " Namba unayopiga haipatikani kwa sasa .... Hapo ujue unadate wewe na simu yako