Mwisho wa kukata umeme ni lini?

Mwisho wa kukata umeme ni lini?

gregorio

Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
21
Reaction score
0
Tatizo la umeme limekuwa sugu sana.

Hadi leo mimi sijaelewa ni kwanini hali imekuwa hivyo.

Je, wenye mamlaka ya kututesa kwa kutuweka gizani ni lini watatuhurumia na kubaini kuwa huu umeme ni tegemeo kwa wajasiriamali wengi?
 
nipo gizani joto ni kali sana ndani mpaka nashindwa kulala,nimezoea fan leo wameukata saa mbili usiku mpaka sasa haujarudi eti
 
Siku sisiem wakiondoka ndio mwisho wa matatizo mengi kupungua maana matatizo ya makubwa ya nchi yetu yamesababishwa kwa kugeuzwa siasa
 
siku ya saba ndo leo walisema mwisho ngoja tuone kama watatekeleza
 
Back
Top Bottom