Haiwezi kuua maana designing sio kupanga panga vitu. Pia idea uchaguzi wa rangi na kadhalika. Ndio maana agencies bado zinaajiri graphics designers tena kwa kuwaambia kabisa watumie canva.Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
View attachment 2425668
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii
View attachment 2425665
View attachment 2425661
Ni vitu gani ambavyo vipo PHOTOSHOP au illustrator lakini CANVA havipoHaiwezi kuua maana designing sio kupanga panga vitu. Pia idea uchaguzi wa rangi na kadhalika. Ndio maana agencies bado zinaajiri graphics designers tena kwa kuwaambia kabisa watumie canva.
Pia kuna vitu bado tu utahitaji software kama photoshop na illustrator
Asante sana kwa kumwelewesha maana yeye kachukua picha ambayo tayari Iko edited aka[achila akaona amewezaHaiwezi kuua maana designing sio kupanga panga vitu. Pia idea uchaguzi wa rangi na kadhalika. Ndio maana agencies bado zinaajiri graphics designers tena kwa kuwaambia kabisa watumie canva.
Pia kuna vitu bado tu utahitaji software kama photoshop na illustrator
Mbona nimeitafuta play store nimeikosa??Ni vitu gani ambavyo vipo PHOTOSHOP au illustrator lakini CANVA havipo
at the end, niliongeza umuhimu wa graphic designer kuingia katika CANVA na kuexplore opportunities za kuongeza vipato zaidi
Itaua tu vishoka wa graphicsNi wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
View attachment 2425668
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii
View attachment 2425665
View attachment 2425661
Mkuu kwa mfano kwenye canva unatumia vitu ambavyo ni ready made. Ila kwenye illustrator unaweza if you can imagine it you can make it. Mfano hivyo vikengele ulivyoweka hapo, unaweza kuvitengeneza from scratch kwenye canva?Ni vitu gani ambavyo vipo PHOTOSHOP au illustrator lakini CANVA havipo
at the end, niliongeza umuhimu wa graphic designer kuingia katika CANVA na kuexplore opportunities za kuongeza vipato zaidi
Hujachelewa hata kidogo labda kama umezeekaNapenda hii fani ila nahisi nimechelewa
Ni vitu gani ambavyo vipo PHOTOSHOP au illustrator lakini CANVA havipo
at the end, niliongeza umuhimu wa graphic designer kuingia katika CANVA na kuexplore opportunities za kuongeza vipato zaidi
Labda cha kukujuza TuNi wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
View attachment 2425668
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii
View attachment 2425665
View attachment 2425661
Kuuwa kabisa sio rahisi maana creativity inahusika ukitumia canva mnaweza kujikuta watu 100 wote mmetumia templates moja..Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa
Mambo sio marahisi hivyoNi wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
View attachment 2425668
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii
View attachment 2425665
View attachment 2425661
Adobe Photoshop ni nzuri zaid ya Canva kwenye graphics designJamaa AA juzi tupo tangu photofunia ila leo graphic design iko canvas utoto mwingi na mnaweza kufanana ...japo iyo Canva pro ni kisanga Ina design nzuri
Graphics designer ambaye Yuko serious lazima atahakikisha anajua adobeCanva haina ubongo, experience wala talent na ubaya kama hujui kutumia adobe ndio utakuwa unatengeneza vitu generic na vya kawaida.
Mfano hizo posters ulizoweka ni za kawaida na zinaweza kuwavutia watu wasiokuwa serious na brands zao au wasiojua basics za graphic design ambao wanaweza tengenezewa posters kupitia powerpoint na wakaridhika
Kwa hiyo Wateja utapata kikawaida ila kama unatarget corporate works, jitahidi uzijue basics za adobe na hapa ndipo utaona graphic designers wataendelea kuwepo
Nina knowledge kiasi ila sio graphic designer ila naweza tofautisha good and bad design