Daah hivi hili zimwi la dini litatuachaga lini sisi waafrika. Mana wakuta kuna mtu limemkaa hadi hajielewi. Wakati wewe wawaza na bikira maria mkristo mwenzako mlokole anakuona umepotea hapo hapo mwislam ndo anakuona huon hata njia bado hujamuongelea buda mara mwingine...