Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,936
Lile jiwe nililowafahamisha mwaka jana tayari liko karibu sana na dunia na pia laweza kuonekana katika vifaa vya ANASA.
ANASA

Lile jiwe nililowafahamisha mwaka jana tayari liko karibu sana na dunia na pia laweza kuonekana katika vifaa vya ANASA.

acha lije tu huenda litaipiga dunia isogee nyuma kidogo joto lipungue maana sikuizi joto nusu kuiva...!

Ataanza kuja Yesu au litaanza kuja jiwe??!Boresha zaidi. Mathayo 24:1-51 inaeleza dalili za mwisho wa dunia, za uasi na pia sayansi. Yesu karibu atarudi kuchukua walio wake
Ha ha haaa dah aise kweli, hata Mimi kabla sijafiiiffikia coment yako, niliwaza hivyo yaani vinaendana kabisa, sura yenye shaka inaonekana wazi.![]()
![]()
hiyo avatar yako na hilo swali lako vinaendana.