Mwingine huyu hapa

{Ndugu habari?Naitwa JESCA MWITA toka kampuni ya PLATENUM kitengo cha MIKOPO kwa watumishi wa serikali na makampuni yaliyosajiriwa,napenda kukujulisha uwa tunatoa MKOPO wa pesa taslimu ndani ya masaa 24 kwa watanzania wote!!nipigie kwa 0742-236039 Nitakuhudumia kwa haraka pia wajulishe na wengine!!}
 
Ona sasa umejichanganya Tapeli.

Badilisha ID then uje kwa style nyingine .
 
Anaitwa Nancy Junior mtoto wa Mbeya
Hapo bangi imekaa...
Ana group lake WhatsApp huko ni balaa tupu...
Hii picha umeitoa kwenye page yake ya FB.
 
Kweli mmeisoma namba hadi unachanganya madawa huu uzi na mikopo wapi na wapi

By the way anza kujikopesha wewe na ndugu zako kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…