siungi mkono kamati huru wala tume... hazijawahi kuleta tija kwani taarifa zo either ni za kupika au hata zikiwa kweli hakuna kinachofanyikaNi muhimu iundwe kamati huru ya kuchunguza kifo hicho. Mtuhumiwa kufia mikononi mwa Polisi si jambo dogo. Lazima waulizwe mahabusu waliokuwepo, na uchunguzi kamili wa kuangalia kuanzia mazingira ya kukamatwa hadi kufa kwake ufanyike.