Nashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika kwa muda vitu hivyo hali huwa shwari.
Hiyo ni static current itokanayo na chaji au electron zilizo kwenye nguo, viti vya plastic n.k kuvutana na zile chaji kwenye mwili wako. watu wote wanaexperience hali hiyo
Umenikumbusha wakati naishi Namibia hiyo hali inakua ni kawaida na kila raia hua ana experience kutokana na kua na jua kali sana ,joto hivyo hupelekea ngozi kua kavu na ku produce hizo electrons (static electricity)