Mwili wa Mwanaharakati Caroline Mwatha aliyepotea umekutwa Mochwari

Autopsy imekuwa released leo hii, tena na pathologist ambaye alichaguliwa na familia ya mwendazake. Ule unyama ambao ulifanyiwa huyo mtoto, we acha tu bana.

Wanaume wa kikenya mnaiba mali za watu lakini mnatumia kama ni za kwenu kihalali.

Nataka kumjua huyo jamaa mwizi.
 
Inakuwaje mtu mume na watoto halafu tena ana boyfriend?!!! ...hawa wanawake ni shida sana

Mume wake sijui alijisikiaje kupata taarifa mkewe alikuwa anajaribu kutoa pregnancy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Does he disappear and reappear? Haven't heard of this one. Must be enigmatic!
His name is Meng Hongwei and he was head of interpol (anti corruption)
But he was arrested and accused of taking bribes
Msome kidogo utamjua kisa hiki ni mwaka jana tu
Mzuia hongo kapokea hongo haha
Kwanza mke wake alisema hajulikani alipo
Baada ya kuondoka France kuelekea China
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Was/is he a Tanzanian?
 
Back
Top Bottom