WELL SAID !!!Mtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists.
Kama uko up-to-date with information kumbuka swala la kutoa viungo vya aliyekufa jakaya kikwete institute ilisema inampango wa kupeleka mswada bungeni ili kuwe na sheria inayotafsiri hilo tendoMtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists yote sawa tu.
Si jambo baya na wala si geni, hata hapo nyuma miili ambayo ilikua haipo claimed baada ya muda flani ilikua inatumiwa kwenye research, sema kama nakumbuka vizuri sheria ilikua mwili kama ni wa hapa bongo unatumiwa nchi nyingine, na nchi nyingine wanaleta huku ili isijetokea unaenda kusoma medicine alafu sample inakua mwili wa mtu unayemfahamu. Mtu akifa kafa, kama kuna njia yoyote ya mwili wake kuleta manufaa kwa walio hai sioni sababu yoyote kutokufanya hivyo, basi tu linakua complicated coz linadeal na hisia za watu.Kama uko up-to-date with information kumbuka swala la kutoa viungo vya aliyekufa jakaya kikwete institute ilisema inampango wa kupeleka mswada bungeni ili kuwe na sheria inayotafsiri hilo tendo
Leo wewe ukifa tukuchome na majivu kutupa familia yako itajisikiaje? Ivi huyo waliyekuwa wanasema atachomwa atachomewa/alichomewa hapa hapa bongo?Si jambo baya na wala si geni, hata hapo nyuma miili ambayo ilikua haipo claimed baada ya muda flani ilikua inatumiwa kwenye research, sema kama nakumbuka vizuri sheria ilikua mwili kama ni wa hapa bongo unatumiwa nchi nyingine, na nchi nyingine wanaleta huku ili isijetokea unaenda kusoma medicine alafu sample inakua mwili wa mtu unayemfahamu. Mtu akifa kafa, kama kuna njia yoyote ya mwili wake kuleta manufaa kwa walio hai sioni sababu yoyote kutokufanya hivyo, basi tu linakua complicated coz linadeal na hisia za watu.
Leo wewe ukifa tukuchome na majivu kutupa familia yako itajisikiaje? Ivi huyo waliyekuwa wanasema atachomwa atachomewa/alichomewa hapa hapa bongo?
MWILI WA BINADAMU NI SAWA NA MNYAMA INAPOUNGUA NI SAWA NA UNAPOCHOMA MBUZI AU KUKU MOSHI YOTE NI SAWA NA HAINA MADHARA KWA UELEWA WANGUVipi kuhusu ule moshi unaochanganyikana na mwili wa binadamu wakati anachomwa una madhara yeyote kwenye mazingira au kwa watu walio karibu na eneo hilo ambao wanaweza kua wakati wanavuta hewa/pumzi wakavuta na huo moshi?
Kwa mwenye uelewa please atujuze.
Ningekuwa mwalimu wako ningekupa 0% na adhabu juu, ivi kwa akili yako kuna moshi usio na madhara kweli tena kwakuwa ni mwili unachomwa kunaharufu na moshi vyote vinaharibu mazingiraMWILI WA BINADAMU NI SAWA NA MNYAMA INAPOUNGUA NI SAWA NA UNAPOCHOMA MBUZI AU KUKU MOSHI YOTE NI SAWA NA HAINA MADHARA KWA UELEWA WANGU
On top of that, kitu kibaya ni kula maiti tu Kama njia ya kutokana au kupoteza mfu, ila mengineyo ni mambo binafsi. Kumbuka kabla hamjafanya hizo taratibu za ibada ya maziko serikali inapaswa kupewa taarifa ya kifo na pia inapaswa kujiridhisha kuwa huyo mtu ni kweli amekufa ndipo huruhusu kumsikia Kwa ibada mliyokubaliana. Ila sio ibada ya kukata nyama mhagama that is a taboo pia sidhani serikali itaruhusu sababu maiti inapaswa kupewa heshimaMtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists yote sawa tu.
basi tujaribu wewe kukuchoma then tuone kama moshi wako ina madhara au la !Ningekuwa mwalimu wako ningekupa 0% na adhabu juu, ivi kwa akili yako kuna moshi usio na madhara kweli tena kwakuwa ni mwili unachomwa kunaharufu na moshi vyote vinaharibu mazingira
Hayo majivu ya huyo maiti aliyechomwa wanayatambuaje? Coz hua yameshachanganyika na majivu ya magogo yaliyotumika kumchomea!!Hiyo ni tamaduni ya wahindi ambayo hapa Tanzania sidhani kama iko implemented sana...
Katiba ya Tanzania imetoa uhuru wa dini..kila mtu aabudu atakavyo ili mradi asikashifu dini nyingine na asivunje sheria..
Kwa tamaduni wa wahindu, mwili huchomwa moto, baada ya hapo yale majivu yako huwekwa kwenye chungu na kwenda kuyamwaga baharini/ziwani/Mtoni ikiwa ndio ishara ya kukuzika rasmi!
mabaki ya mifupa ndiyio yanakusanywa na kutupa baharini/mtoni/ziwaniHayo majivu ya huyo maiti aliyechomwa wanayatambuaje? Coz hua yameshachanganyika na majivu ya magogo yaliyotumika kumchomea!!
kwani hiyo katiba imeeleza mtu azikwaje??Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo.
Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali hata akisagika kabisa au kubaki majivu unazikwa hivi hivi.