Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!!!
Kauli mbiu inayowaumiza sana wanaCCM Arumeru ni hii, KULA CCM KULALA CDM! Kwa logic ile wanatakiwa wale sana hela za mafisadi CCM lakini siku ya kula wajue nyumbani ni wapi. Bila ajizi wala mawaa yoyote wanaua nyani 01.04.
Inauma kwa maana imewaondelea confidence ya ushindi kwa kutumia rushwa ya kanga na kofia.
nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za arumeru mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!
Nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za Arumeru Mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!
Mkuu hilo jina siyo lake mwiite lile jina lingine atajitokeza.kama kuna watu wapo kwenye hali mbaya na matokeo ya meru yanaweza wapoteza kwenye medali ya siasa basi ni mwigulu.
amegawa scafu watu wanafungia vidonda.
Kichwa lazima kiwaume maana hawajui kilicho ndani ya wapiga kura hata kama watawapa hela.Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!!!
Kauli mbiu inayowaumiza sana wanaCCM Arumeru ni hii, KULA CCM KULALA CDM! Kwa logic ile wanatakiwa wale sana hela za mafisadi CCM lakini siku ya kula wajue nyumbani ni wapi. Bila ajizi wala mawaa yoyote wanaua nyani 01.04.
Inauma kwa maana imewaondelea confidence ya ushindi kwa kutumia rushwa ya kanga na kofia.
Jana kwenye fund raising ya M4C kuna mchangiaji toka jimboni kwake akasema Iramba Magharibi hawana mbunge bali wana mzinzi.Ameona jinsi mzee mzima Mkapa alivyozimwa na Vincent, yeye akawa mpole watu wasije wakakumbushia ya mke wa ustaadh kule Igunga
Nilimpenda yule mkaka manake alisema nimetumwa na watu wa Iramba kuchangia sh.... Ili tuje kupata mbunge manake kwenye jimbo letu hatuna mbunge tuna 'MZINZI'...Jana kwenye fund raising ya M4C kuna mchangiaji toka jimboni kwake akasema Iramba Magharibi hawana mbunge bali wana mzinzi.