Mwigulu: Tozo za miamala siyo mpya ni zilezile mlizokuwa mnaziita "Tuma na ya Kutolea" nashangaa mlivyo wasahaulifu

Uzuri ni kuwa hizi tozo zitakula kwa Mwigulu na ambao wameziridhia wakiwamo zandrano Jumbe Brown (mjumbe machachari kutokea pande za pale makunduchi) na binamu zao.
🤣🤣
Hayati JF Kennedy alisema "utaifanyia nini Marekani na si Marekani itakufanyia nini"....

Tozo ni kwa ajili ya MAENDELEO ya watanzania wote.....

Nimeridhia kukatwa.....

Karibu Makunduchi tuchokoe "pweza" mwambani.....
 
Huyu aache kuwapa watu kichefu chefu. Hivi anajiona yeye ndio bora zaidi kuliko wengine? Muda utaongea.
 
Aache kudanganya, hiyo tuma ya kutolea ni yale makato yanayotozwa na makampuni ya simu na mawakala wao.......hakujawahi kuwa na tozo ya uzalendo kwenye hayo makato, hii wameiweka kiwiziwizi.....
 
Kww hiyo siku hizi tunatuma na ya kutolea mara 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…