Inabidi kusema hapana kwa kweli na utaratibu wa kusema waziri lazima awe mbunge ni wa kijinga sana sometimes kati ya hao wabunge hakuna kitu ukimwacha type ya mwigulu utamchukua nani sasa, babu tale au?Mkuu Nietzsche, kwanza nikushukuru. Binafsi nafikiri hili ni moja ya mabandiko kiboko niliyoyasoma humu mwaka huu. Pili, niungane na mchangiaji hapo juu, na niseme tu kwa kweli kwamba Watanzania kama jamii tunachezewa sana na hawa jamaa. Ifike mahali sasa na sisi TUSHITUKE. Things can't go on like this with these rogue politicians. Ifike mahali kwa kweli tuseme hapana. Mtu kama Mwigulu kimsingi ni kilaza tu. Lakini cha ajabu, yeye ndiye anashikilia wizara nyeti kuliko zote.
Nimesikiliza hiyo speech ila nikahisi machozi yanataka kunitoka. Kaka mkubwa Pascal Mayalla hivi na Wewe huwa unawaelewa hawa watu aina ya P.h.d Karne hii waziri Bado anawaza waza kuchimbachimba mashimo ya maji. Gesi ya Mtwara na Songosongo ya nini.Mkuu Nietzsche, kwanza nikushukuru. Binafsi nafikiri hili ni moja ya mabandiko kiboko niliyoyasoma humu mwaka huu. Pili, niungane na mchangiaji hapo juu, na niseme tu kwa kweli kwamba Watanzania kama jamii tunachezewa sana na hawa jamaa. Ifike mahali sasa na sisi TUSHITUKE. Things can't go on like this with these rogue politicians. Ifike mahali kwa kweli tuseme hapana. Mtu kama Mwigulu kimsingi ni kilaza tu. Lakini cha ajabu, yeye ndiye anashikilia wizara nyeti kuliko zote.
Hata mi nakubali. Hii ni kati ya makala bora kabisa nilizowahi kuzisoma hapa JF. Hadi imefanya nikomenti yaani. Nakubaliana na goodluck5 kwamba hii yote ni kwa sababu ya kulamba asali tu. Pia hoja ya mtoa mada kwamba Nyerere ndiye aliyekuwa msomi mashuhuri na mzalendo kindakindaki lakini hatukuwahi kumwona na hayo mabendera na manguo ya PhD anayovaa Mwigulu nimeikubali sana!Mkuu Nietzsche, kwanza nikushukuru. Binafsi nafikiri hili ni moja ya mabandiko kiboko niliyoyasoma humu mwaka huu. Pili, niungane na mchangiaji hapo juu, na niseme tu kwa kweli kwamba Watanzania kama jamii tunachezewa sana na hawa jamaa. Ifike mahali sasa na sisi TUSHITUKE. Things can't go on like this with these rogue politicians. Ifike mahali kwa kweli tuseme hapana. Mtu kama Mwigulu kimsingi ni kilaza tu. Lakini cha ajabu, yeye ndiye anashikilia wizara nyeti kuliko zote.
I have watched this video three times now and everytime I had to stop and wonder who was being addressed here. I kept asking myself if this taking was taking place in my own country or elsewhere!This guy, seen here singing empty praises, is a disgrace - and that's putting it mildly. But the sad thing is, he thinks that donning all that gear and singing those hollow praises makes him knowledgeable, and this is where it gets interesting.
View attachment 2429929
Nnachojua kuhusu Madelu huwa ni bingwa wa kujipendekeza kwa boss wake ili aendelee kubaki barazani kulamba asali.
Ila kimsingi hana maajabu.
Mkuu Mag3, Tanzania, like most countries in the region, i.e. Uganda, Rwanda, etc, are what we call in the analytical parlance, anocracies. That's because they are run by semi-autocratic regimes. But in its current trajectory, Tanzania is moving even beyond this anocratic mode, as it morphs into a full autocratic mode. That, in my opinion, explains the indisposition that you have just so aptly elucidated above.I have watched this video three times now and everytime I had to stop and wonder who was being addressed here. I kept asking myself if this taking was taking place in my own country or elsewhere!
Yeah, the people look like they are Tanzanians but the setting and the atmosphere reminded me of some other place. And now I can say for sure that what I was witnessing was surely foreign, to me!
And then I got it! This was not anything like Nyerere’s Tanzaniat, this was...this was something close to Kim’s North Korea! My God, who is this dude with the mike, oh no, someone please tell me!
Trying so hard to impress with your academic English, but you unbeknowst stoop to the same level of fake and failed so called "intellectuals" like the main character of your elitist ramblings in a foreign language.Mkuu Mag3, Tanzania, like most countries in the region, i.e. Uganda, Rwanda, etc, are what we call in the analytical parlance, anocracies. That's because they are run by semi-autocratic regimes. But in its current trajectory, Tanzania is moving even beyond this anocratic mode, as it morphs into a full autocratic mode. That, in my opinion, explains the indisposition that you have just so aptly elucidated above.