Mwigulu Njemba na Nape Nnauye mnawaza nini??

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
17632445_1238212289619048_8608493445715914531_o.jpg
 
Hawaamini matokeo ya dhulma waloshiriki kuitenda.,wakikumbuka walivyokiparangania chama na kuwa tayari kuwadhulumu wananchi haki yao ya kuchagua wakipendacho kwa namna yoyote ile,kwa jasho na hata kwa damu za raia wema.,wakiamini wao ndio chama na chama ndicho wao,leo yamekuwa haya?Yaani kweli??Kweeeli???Wanaonekana si lolote si chochote mbele ya mtoto toka koromije!!!
Dah!!!Mie niwakumbushe tu ya kwamba........
images-1542.jpeg
 
Back
Top Bottom